YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday, 8 August 2014

NEW!!! TANGAZO LA KAZI, NAFASI YA KAZI YA MASOKO KWENYE BLOG HII

Mkurugenzi mkuu wa blog yako ya watu ya CALVIN-OBELD BLOG anatangaza nafasi za kazi sehemu ya masoko. Hii ni fursa nyingine kwako wewe kijana kutoka sehemu yeyote ile hapa Tanzania ikiwa tu una umri wa miaka isiyopungua 18.

SIFA NA VIGEZO
1. Kuwa tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile hapa Tanzania
2. Kujua kusoma na kuandika kwa ufasaha
3. Elimu kwanzia form four na zaidi
4. Sifa za ziada kuangaliwa.

KAZI YENYEWE
1. Kutafuta matangazo kutoka sehemu mbalimbali kwa ajiri ya kuwekwa kwenye BLOG hii kibiashara
2. Kuitangaza blog hii sehemu mbalimbali nchini na nje ya mipaka yetu.
3. Kutafuta matukio(events) za burudani na za kijamii kwa ajiri ya BLOG kudhamini matukio na hafla         mbalimbali.

MSHAHARA/MALIPO
1. kwa tangazo moja litakaloletwa na muhusika ata faidika na 50% ya malipo ya tangazo ilo.
2. Gharama ya kutangaza tangazo lolote kwa miezi miwili ni shilingi 200,000.
3. Malipo yanafanyika pale tu mkataba wa kutangaza tangazo utakapokua umeridhiwa na pande mbili yani  mtu wa masoko na mwenye tangazo.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Ambatanisha CV na barua ya maombi na itume kwenye Email iliyoko hapo chini, na kwa maelezo zaidi wasiliana na mkurugenzi wa CALVIN-OBELD-Blog kwa mawasiliano yafuatayo
             Mob number;   +255 765 970 641,     0718 457 311
             Email;                cacholikevi@gmail.com
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 AUGUST 2014

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg