YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday, 8 August 2014

USHAHIDI WA WEUSI KUCOPY WIMBO WAO WA GERE HUU HAPA, YANI HADI BEAT DAH.


Kati ya ngoma zilizofanya vizuri sana mwaka huu ni pamoja na Gere, ngoma ni kali sana na imetembea mno kila kona utasikia raia wakiimba.

Leo nimepokea hii nyengine kutoka kwa Machine Gun Kelly lakini nikashangaa kuona kama kuna muingiliano ama mfanano au pengine ni vitu vidogo tu vimebadilika katika nyimbo hizi mbili.
Bado sijajua undani wa ngoma hizi mbili hivyo siwezi ziongelea zaidi ila fanya kuzisikiliza kwa umakini.
Sitaki tumia neno "COPY & PASTE" au "SAMPLE" but ngoja kwa leo tuishie hapa kwanza mpaka tutakapopata kusikia kwa "Weusi" wenyewe.
Wimbo huu ulitoka mwaka huu January
Fanya kusikiliza "GERE" ya Weusi HAPA

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg