YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 3 August 2014

KISWAHILI CHAZIDI KUPAA: BAADA YA NICKI MINAJ, HUYU NDIYE STAA MKUBWA NA TAJIRI DUNIANI ALIYEKITUMIA...!Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram kumuenzi Mzee Mandela baada ya kifo ambapo baada ya kumsifia aliandika mwishoni ‘madaraka kwa watu’.

Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuandikia hashtag ya #SIMBA.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg