Maelefu wajitokeza Jijini Mwanza katika uwanja wa Nyamagani kuuaga mwili wa aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Marehemu Liberatus Burlow.
Foleni ya wananchi Uwanja wa Nyamagana Mwanza.
Hakika watu ni wengi sana.
Mwili wa Marehemu Liberatus Burlow
sehemu ya Wananchi waliobahatika kukaa.
Gari la Polisi likiwa na picha ya Marehemu Liberatus Burlow
Mwili wa Marehemu Liberatus Burlow umesafirishwa hiileo kuelekea Dar es Salaam na kisha nyumbani kwao Moshi ambapo ndipo mazishi yatafanyika, Bukobawadau blog tunatoa pole kwa Wananchi wote kufuatia msiba huu wa Taifa.!!!