Habari ambazo sio nzuri lakini inakupasa kuzipata ni kwamba kiwanda cha bongoflava kipo kwenye majonzi baada ya wasanii watatu kupoteza mama zao katika kipindi cha siku mbili mfululizo.Salamu za rambirambi kutoka millardayo.com ziwafikie wasanii hawa ambao ni Prof Jay na mdogo wake Black Ryhno kwa kumpoteza mama yao pamoja na Z anto ambaye sources zinasema kwamba amempoteza mama yake kwa saratani ya ini. Roho za marehemu zilazwe mahali pema peponi amen. |
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg