Umati mkubwa uliofurika uwanja wa Jamhuri kushuhudia uzinduzi wa Magic Fm na Dtv chini ya udhamini mkubwa wa Windhoek Beer.
Maelfu wakifuatilia mtiririko wa Onyesho hili la aina yake mjini Dodoma.
Anaitwa Bibi Cheka akiwajibika jukwaani, Pembeni ni Msanii Dogo Asley.
Msanii mwenye sauti ya aina yake PNC akifanya yake ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic FM na DTV .
VINYWAJI AINA YA WINDHOEK TAYARI KWA KUUZWA TSH 2500 TU!
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizindua rasmi Magic Fm na Dtv Mjini Dodoma