YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday, 4 July 2014

STORY YA UGOMVI WATANGAZAJI WA CLOUDS FM


xxlJumatano July 02 kupitia kipindi cha XXL zilisikika kelele za ugomvi hewani ambazo asilimia kubwa tuliamini kuwa ni za kweli hasa kutokana na baadhi yao kusikika kama wamekabwa huku wengine wakitaja majina ya viongozi kuja studio kuamulia ugomvi huo.
kila mmoja kwa nafasi yake anatamani kujua chanzo hasa cha kugombana lakini kupitia kipindi cha XXL leo July 04,wameeleza ukweli juu ya kilichotokea na kusema hii wamefanya kwa ajili ya kampeni ambayo Clouds Media Group wanaiendesha kwa sasa waliyoipa jina la Paza Sauti.
xxl3Kampeni hii inalenga kuhamasisha utoaji wa taarifa ambazo unaziona mtaani kwako kama haziko sawa kutoa taarifa hasa kwa vyombo vya dola ikiwemo Polisi ili kwa pamoja tuidumishe amani tuliyonayo Tanzania,Paza Sauti,Ukimya Hausaidii..
dozen11Bonyeza play kusikiliza maana halisi ya Paza sauti.
MAONI
SHARE

BOT YATANGAZA KULETA SARAFU YA SHILINGI 500


noti
Baada ya kubainika noti ya shilingi 500 kuwa na mzunguko mkubwa wa matumizi, na kuchakaa kwa haraka huku kiwango chake kudumu kwenye mzunguko kwa miezi sita, Benki kuu ya Tanzania (BOT), inatarajia kubadili noti hiyo na kuwa sarafu.
Sarafu hiyo ya 500 inatarajia kutambulishwa na kuanza kutumika hivi karibuni ikienda sambamba na kipindi cha mwaka huu wa fedha.
Mabadiliko hayo yanatarajiwa kufanyika huku sarafu hiyo ikitarajiwa kudumu kwenye mzunguko kwa zaidi ya miaka 20 na kubaki na ubora
wake ule ule.
Afisa mkuu wa benki kitengo cha idara kurugenzi za kibenki, Patrick Fata, amenukuliwa akisema kuwa “Tunafanya hivi kwasababu noti ya 500 inachakaa haraka kulinganisha na mzunguko wake na kuwafikia watu wengi na kuchakaa haraka, utengenezaji wake ni ule ule ila inachaa kutokana na mzunguko inaweza kushikwa na watu milioni moja kwa siku kuliko noti ya elfu 10.”
“Inaanza kutumika mwaka huu wa fedha inategemea kutoka Julai mwaka huu.”- Fata
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta FB

DARAJA LABOMOKA NA KUUA WATU HUKO BRAZIL


darajaDaraja limebomoka na kuua watu wawili huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa katika mji ambako mechi za nusu fainali zikitarajia kuchezwa nchini Brazil.
daraja2
Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.
daraja3
daraja4
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta FB

Wednesday, 2 July 2014

WAKUBWA TU: 5 PICHAZ...MKE WA MTU SUMU...AVULIWA NGUO ZOTE NA KUFANYWA KITU MBAYA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU...!


MKE WA MTU NI SUMU: Waswahili hawakukosea hata kidogo katika msemo huu...!Kijana aliyejulikana kwa jina la Mussa mkazi w Kitunda hatoweza sahau maishani mwake maswahibu yaliyomkuta baada ya kuwekewa mtego na mwenye mali hatimaye kunaswa live...!
Mke anauma jamani, ukitaka kuamini basi shuhudia mwenyewe kilichomkuta kijana Mussa...!Tafadhali picha zifuatazo hazina maadili kabisa...!

Tuesday, 1 July 2014

AIBU DAR: DAKTARI NA MGONJWA WAKE WAFUMWA LIVE WAKINGONOKA CHUMBA CHA KUNGOLEA MENO...!


AMA kweli majanga yakimkuta binadamu hayapigi hodi! Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai ni mgonjwa wa jino aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamida (20).
Dokta Ngariba akijitetea.
Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 9, mwaka huu ndani ya Kituo cha Afya cha Halmashauri ya Wilaya ya Temeke kilichopo Kigamboni jijini Dar ambapo timbwili hilo lilitokea.

ILIKUWAJE?
Ilikuwa wakati OFM wakizunguka katika Jiji la Dar es Salaam kama ada kusaka matukio ndipo walipopita nje ya kituo hicho walisikia sekeseke kutokea kwenye chumba ambacho baadaye kilibainika na cha kung’olea meno.


 UCHUNGUZI, UFUATILIAJI
Katika uchunguzi na ufuatiliaji wa OFM, mgonjwa huyo alisikika akidai kwa polisi waliofika kutuliza sakata kuwa, alijihimu kwenye kituo hicho kwa lengo la kung’oa jino lakini katika hali ambayo hakuitarajia daktari huyo alimtaka kimapenzi naye akajikuta akitumbukia.

....Akiandaa zana za kazi.
 HEBU SIKIA HII
“Mimi nimekuja kung’oa jino, linaniuma leo sijui siku ya ngapi? Lakini huyu daktari nimefika akanitaka kimapenzi. Nilidhani anatania, baadaye nikagundua kuwa amedhamiria,” alisema mwanamke huyo ambaye alikutwa ameshavua dera. 


UTETEZI WA DAKTARI
Hata hivyo, daktari huyo hakumwacha mgonjwa wake huyo atambe kiasi hicho, alijibu mapigo kwa kusema kuwa, alimpokea mwanamke huyo kama mgonjwa wa jino na kumwingiza kwenye chumba cha kung’olea meno lakini ghafla alimwona akianza kuvua nguo zake kisha kumvua na yeye shati na baadaye kutaka kufungua zipu ya suruali.
.....Wakiwa chumba cha kung'olea jino
 Akiendelea kuzungumza mbele ya Polisi wa Kituo cha Kigamboni waliofika kwenye sakata hilo ndani ya chumba cha matibabu ya meno, daktari huyo alisema:
“Mimi sikuwa na nia mbaya, nilijua ni mgonjwa anataka tiba ya kung’olewa jino.
“Sasa nikiwa katika maandalizi ghafla nikamwona anavua nguo na kisha akanivaa mimi na kuanza kunivua shati. Nashangaa sana anaposema nilimtaka kimapenzi, si kweli jamani.”

 MASWALI MAGUMU
Baada ya maelezo ya Dokta Ngariba, OFM ilikuwa na maswali yake lakini haikupewa nafasi ya kuyauliza kwa vile walidandia ishu.

.....Wakielekea kituo cha polisi Kigambono.
 Swali la kwanza; kama kweli Dokta Ngariba alivamiwa na kuvuliwa nguo na mgonjwa huyo, alipiga kelele kuomba msaada kutoka kwa watumishi wenzake?
 

Swali la pili; mpaka mgonjwa anajivua nguo zake kisha kumvua yeye shati na baadaye kuelekea kwenye fraizi ya suruali, yeye alikuwa anawaza nini akizingatia ni mgonjwa wa meno? 
Uwazi lilizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sylvia Mamkwe kuhusu sakata hilo ambapo alisema:

 “Taarifa hizo nazisikia kwako, niko safarini, nitafuatilia. Kama ni kweli hatua zinachukuliwa kwa waajiri wake ambapo najua kwa kosa kama hilo ni kupoteza kazi.” 
Stori: Chande Abdallah, Issa Mnally na Richard Bukos

ANASWA AKILIWA URODA MAKABURINI NA NJEMBA SITA KWA MPIGO VIDEO HII HAPA



Njemba hizi zimebambwa zikimla uroda mwanamke huyu makaburini, mchana kweupe 

Sunday, 29 June 2014

LISBON BUSINESS SCHOOL COLLEGE YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

CHUO KINACHOTOA MAFUNZO MBALI MBALI YAKIWEMO YA BIASHARA KA KOZI ZA MUDA MFUPI NA MUDA MREFU KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KOZI ZIFUATAZO.

(i) Supply and procurement                                           (vii) Cashier level 1& 2
 (ii) Accounting level 1                                          (viii) Interior planning and designing
 (iii) Accounting level 2                                                  (ix) Basic computer application
(iv) Entrepreneurship skills                                             (x)English courses
(v) Sales techniques                                                       (xi) Record management

CHUO KINAPATIKANA ENEO LA MABIBO HOSTEL KWA MAWASILIANO ZAIDI 


 Www.lisbonscbusiness.com
S.L.P 79422 Dar Es Salaam
PHONE; 0718712730, 0718457311, 0685732071
EMAIL; info@lisbonscbusiness.com
FAX; +255736601427
Tel. +255736601427