Thursday, 18 February 2016
FIRST LADY AKIAGWA RASMI NA SHULE ALIYOKUWA AKIFUNDISHA,
Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli February 17 2016 alirudi katika shule aliyofundisha kwa miaka 15 kabla ya JPM hajawa Rais wa Tanzania.
SHOO NA TEKNO NA WASANII WA BONGO FLEVA JIJINI MWANZA WATISHA
Ni show ambayo ilifanyika February 13 2016 Mwanza Tanzania ikikutanisha mastaa wa muziki kutoka Tanzania ( Juma Nature na Ommy Dimpoz ) na Nigeria ( Tekno na Seyi Shay )
ISKILIZE HAPA BARUA KUTOKA GEREZANI YA JACKY CLIFF.
Jackie Cliff ni Mtanzania ambaye alihukumiwa kwenda jela miaka miwili iliyopita hukoMacao China baada ya kukamatwa uwanja wa ndege akijaribu kuingiza dawa za kulevya, kwenye hii video amemtumia Millard Ayo barua ambayo anataka Watanzania wasomewe.
Wednesday, 17 February 2016
SAUTI YA MAGUFULI AKIZUNGUMZIA SWALA LA BANDALI YA DAR ES SALAAM;
Ni maamuzi mapya ya Rais Magufuli February 15 2016 kuhusu Ulinzi wa bandari ya Dar es salaam chini ya Polisi lakini pia kuna uteuzi alioufanya ukiwemo unaomuhusu Dr. Asharose Migiro na wengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini upate details zote
Unataka kutumiwa MSG za habari mbalimbali? cheki na namba hii 0718457311
Subscribe to:
Posts (Atom)