YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 20 March 2013

VYUO 20 BORA EAST AFRICA

According to a study conducted by Centre for Public and Social Research International, Makerere University Business School in Uganda is the best university in East Africa region in social and market research, followed closely by Strathmore University in Kenya.

The following is a list of the top 20 best University in East Afrian region.
1. Makerere University Business School

2. Strathmore University

3. Busitema University

4. School of Finance and Banking (RW)

5. Multi-Media University College

6. African Virtual University

7. Makerere University

8. University of Nairobi

9. Mount Kenya University

10. Kenyatta University

11. National University of Rwanda

12. Bondo University College

13. Hubert Kariuki Memorial University (TZ)

14. Moi University

15. Daystar University

16. University of Dar Salaam

17. Mbarara University of Sci & Tech

18. Egerton University

19. JKUAT

20. Mountains of the Moon University (UG)

LAANA TUPU : HII NDIO VIDEO YA WANAFUNZI WA CHUO WALIOFUMWA LAIVU WAKIVUNJA AMRI YA SITA CHOONI.

Amini usiamini,hili ndio tukio lililotokea wiki iliyopita huko nchini botswana ambapo wanafunzi wawili wa chuo cha muziki nchini humo walijikuta katika maswahibu makubwa baada ya video waliorekodi kwa kutumia

kwa kutumia simu wakati wakivunja amri ya sita katika vyoo vya chuo kuvuja, kisa cha kuvuja kwa video hiyo kilitokana na simu ilikuwa na video hiyo kuibiwa na kisha video hiyo kuwekwa katika mtandao na mwanafunzi ambaye hakuweza kujulikana kiurahisi.

Baada ya simu kuibiwa mmiliki wa simu hiyo aliyetambulika kwa jina la TShwane alianza kuhaha chuoni hapo kwa kubandika matangazo yaliyokuwa yakisomeka hivi "kwa mwanachuo yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa simu hiyo nitampa donge nono"

Tangazo hilo ndilo liliibua mkasa mzima, baada ya mwanafunzi aliyeiba simu hiyo kuipekua na kufanikiwa kuikuta video hiyo iliyoku a inamuonesha Tswane na mwanafunzi mwenzake wa kike ambaye hakuweza kutambulika kiurahisi katika video hiyo wakivunja amri ya sita

ndipo alipoamua kuivujisha kwa kuiweka kwenye mtandao na kisha taarifa ya video hiyo kusambaa chuoni hapo.mtoto chini ya umri wa miaka 18 haruhusiwi:bonyeza link hapo:
http://www.youtube.com/watch?v=g9CAPOfkGWk&feature=player_embedded

HUYU NDIYE SHABIKI ALIYEVUA NGUO UWANJANI:

HII VIDEO NOMA MAZEE, VITUKO VYA WANAUME BAADA YA WAPENZI WAO KUTOKEA GHAFLA WANAPOONGEA NA WANAWAKE WENGINE KWENYE SIMU?

9
Wakati mwingine kama binadamu unaweza kuwa huna raha au una hasira lakini kuna vitu kama hivi vikikupata lazima vikufanye utabasamu au hata kuubadilisha wakati wako mgumu, chukua time yako kutazama hii video inayoonyesha jinsi wanaume wanavyoweweseka wakati wapenzi wao wanapotibua mambo wakati wakiwa kwenye simu na wanawake wengine.
Kutazama video hii hakikisha una umri wa miaka 18 na kuendelea.

PICHA NA MATUKIO MAHAKAMANI; LWAKATARE ARUDISHWA RUMANDE

LWAKATARE ARUDISHWA RUMANDE, MBWA WAWATULIZA WAFUASI WA CHADEMA

Tuesday, 19 March 2013

MLOKOLE AMPIGA SHOKA MAMA YAKE, AMUUA CHEKI PICHA HAPA

Na Dustan Shekidele, Morogoro
KWELI kuelekea mwisho wa dunia, mengi yataonekana. Mtu unawezaje kumpiga shoka mama yako mzazi, aliyekutunza tumboni mwake kwa miezi tisa, akakunyonyesha, kukusomesha hadi kukua na kujitegemea?
Mwili wa marehemu Ndolukasi Lugamo ukitolewa eneo la tukio.
Frank Hillary, 27, aliyetambuliwa kuwa mlokole, amethubutu na kuweza kukatisha maisha ya mama yake, Ndolukasi Lugamo, 50, akitumia shoka kuondoa uhai wa mzazi wake.
Frank Hillary akiwa chini ya ulinzi.
Tukio zima, lilichukua nafasi Alhamisi iliyopita, Mtaa wa Malipula, Kata ya Chamwino, mkoani hapa na inadaiwa kwamba kabla ya mauaji, Hillary alimpiga vibao, mitama na mateke mama yake.
Muuaji Frank Hillary (27), akiwa mikononi mwa wanausalama.
HALI HALISI ILIVYOKUWA
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, Pili Athuman, alidai kwamba siku ya tukio, kulitokea mabishano kati ya Hillary na mama yake.
“Yalikuwa mabishano kidogo lakini ghafla yule kijana alimvamia mama yake na kuanza kumpiga,” alisema Pili na kuongeza:
“Yule kijana ni mtoto wa pekee wa yule mama. Tunashindwa kuelewa mpaka sasa chanzo cha tukio hilo. Halafu wale watu ni walokole kabisa na siku zote walikuwa wanaishi kwa upendo.”
Wananchi wakiangalia shoka lililotumika kuondoa uhai wa Ndolukasi Lugamo.
Shuhuda mwingine, Julius Josephat alisema: “Mimi nashindwa kuelewa. Huyu marehemu na mwanaye walikuwa wanapendana sana, wakienda kanisani wanaongozana kama kumbikumbi.
“Kinachosikitisha zaidi ni kuwa mama yake aliumia mkono kama siku tatu kabla, akawa amefungwa plasta ngumu (POP), nahisi ndiyo maana alishindwa kujiokoa.”
Mwili wa marehemu pamoja na shoka lililotumika vikitolewa eneo la tukio kupelekwa kwenye difenda.
Naye Maria Maswika ambaye nyumba yake imepakana na ile ya mama Hillary, alieleza: “Leo (Alhamisi),  saa 4 asubuhi nilimsikia huyo mama akipiga kelele za kuomba msada, huku akiingia nyumbani kwangu.
“Nilipotoka chumbani, nilishuhudia kwa macho yangu yule kijana akimpiga shoka mama yake na kumuua palepale. Sababu ya ugomvi wao siielewi. Kwanza nashangaa sana, kwani yule mama wa watu alikuwa anampenda sana mtoto wake.”
Muuaji Frank Hillary akipigwa pingu na wanausalama.
HILLARY AKAMATWA
Mwandishi wetu alifika eneo la tukio mapema na kushuhudia wananchi wakimkamata Hillary, kumfunga kamba kabla ya polisi nao kuwasili, kuandika maelezo na kumchukua mtuhumiwa huyo wa mauaji ya mama yake mzazi.
RPC ANASEMAJE KUHUSU SHERIA?
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, ACP Faustine Shilogile, alisema: “Uchunguzi zaidi wa tukio unaendelea na utakapokamilika, tutamfikisha mtuhumiwa mahakamani.”
Paka anayetajwa kumilikiwa na marehemu akiwa pembeni ya mwili wa Ndolukasi Lugamo.
PAKA WA KUSHANGAZA
Kitu kilichowashangaza wengi eneo la tukio ni paka anayetajwa kumilikiwa na marehemu ambaye baada ya mama huyo kuuawa, yeye alikwenda kulamba damu kisha akalala kichwani kwenye mwili wa marehemu.
Mtuhumiwa Frank akipandishwa kwenye difenda.
TUTAFUATILIA
Uwazi linaendelea kufuatilia na litaweka bayana sababu hasa ya mauaji hayo na kilichompata kijana huyo mpaka akachukua uamuzi wa kumuua mama yake.
Safari ya kuelekea kituoni imeiva.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE MARCH 19, 2013