YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 25 February 2014

KIUKWELI JOTO BONGO LIMEKITHIRI, KAMA NOMA NA IWE NOMA

Kweli joto la bongo ni kiboko jamaa aamua kupanda gari tena akiwa mtupu ili apate upepo mzuri

DAKTARI FEKI MWINGINE AKAMATWA MUHIMBILI

Jana February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili ya kupatiwa huduma za matibabu katika hospitali hiyo.
Taarifa kutoka Muhimbili inasema ni Tukio la tatu kutokea katika hospitali hiyo ingawa matukio ya namna hiyo yameshawahi kuripotiwa katika baadhi ya hospitali kubwa za serikali kwa baadhi ya watu wanaotumia mwavuli wa fani ya udaktari kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Msemaji wa Hospital ya taifa Muhimbili Aminieli Aligaesha amemtaja Daktari huyo feki kwa jina la Kitano Mustapha na kubainisha kuwa katika upekuzi uliofanywa na maofisa usalama wa hospitali hiyo wamemkuta mtuhumiwa akiwa na kadi tatu za kliniki,namba za simu za madaktari na wauguzi katika hospitali hiyo huku wakitambua kufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa sheria zilizopo na kanuni za utabibu.
Daktari huyo feki Kitano Mustapha amekana kutohusika na utaperi huo kwa wagonjwa mbali mbali wanaofika kupata huduma za kimatibabu na kusema hawezi kuongea lolote mpaka Mwanasheria wake awepo. 

BARAZA LA MTIHANI LATOA UFAFANUZI NA ALA,A NA MADARAJA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2013:

Baraza la Mitihani nchini limetoa ufafanuzi wa alama na madaraja yalivyopangwa kutokana na matokeo ya mtihani wa watahiniwa walioitimu Kidato cha Nne 2012/13 baada ya malalamiko yaliyotokana na mkanganyiko wa utaratibu huo mpya ambao haukuwepo katika miaka ya nyuma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema utaratibu huo umelenga kupunguza mlundikano wa alama katika kundi moja.
Sasa katika makundi yetu haya saba, kama nilivyotangulia kusema, ni gredi D ndiyo ufaulu. Kama mtahiniwa alipata gredi D na kuendelea, atakuwa amefaulu. Mtahiniwa katika somo,
 akipata gredi D na F, atahesabiwa kuwa ameshindwa somo husika.

Sasa mtahiniwa huyu anahesabiwa vipi kufaulu kwa ujumla wake mtihani?

Amefanya masomo mbalimbali tunampangaje katika madaraja?

Madaraja ya ufaulu, yamepangwa kwa mujibu wa kifungu cha 20, kifungu kidogo 1 – 6 cha Kanuni za Mitihani, kinachoelekeza kuwa, Ufaulu katika daraja la I – III upangwe kwa kuzingatia idadi ya alama, yaani points, na ufaulu katika daraja la IV unapangwa kwa kuzingatia ufaulu wa chini alioupata mtahiniwa ambao ni gredi D katika masomo yasiyopungua mawili au kwa kiwango kisichokuwa chini ya gredi C katika somo moja.
Aidha Dk Msonde amesema sifa za kujiunga na mafunzo katika ngazi kwa kutumia mfumo huo mpya wa madaraja, utatolewa na mamlaka husika, ambapo Kamishana wa Elimu ndiye mwenye mamlaka ya kulitolea ufafanuzi.
----------------

UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI YA WADAU WA ELIMU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2013

Baraza la Mitihani la Tanzania lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2013 tarehe 21/02/2014. Baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Baraza limekuwa likipokea maswali mbalimbali yanayoashiria kuwa baadhi ya wadau wa elimu hawakuelewa vizuri kuhusu Viwango vya Ufaulu (grade ranges), alama ya chini ya ufaulu (pass mark) na Ufaulu wa jumla wa mtahiniwa (overall performance). Baraza la Mitihani linapenda kutoa ufafanuzi katika mambo hayo kama ifuatavyo:-
1.  Viwango vya ufaulu (grade ranges) ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuwaweka pamoja watahiniwa wenye uwezo unaofanana katika somo husika na kuwatofautisha na watahiniwa waliopo katika kundi jingine. Makundi haya hupangwa ili kuwawezesha wadau kutambua namna watahiniwa walivyotawanyika katika viwango mbalimbali vya umahiri wa somo husika. Baraza la Mitihani la Tanzania, limekuwa likitumia makundi Matano (5) kwa kipindi kirefu hadi mwaka 2012.
Aidha, Kuanzia Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2013, Baraza limeanza kutumia utaratibu wa Makundi Saba (7) ambayo ni A, B+, B, C, D, E na F. Utaratibu huu umelenga kupunguza mlundikano mkubwa wa alama katika kundi moja. Mgawanyo wa makundi hayo ni kama inavyoonekana kwenye Jedwali la 1.
Jedwali Na 1: Viwango vya ufaulu vilivyotumika katika Matokeo ya CSEE 2013.
Kundi
Gredi
Alama
Idadi ya Pointi
1
A
75 - 100
1
2
B+
60 - 74
2
3
B
50 - 59
3
4
C
40 - 49
4
5
D
30 - 39
5
6
E
20 - 29
6
7
F
0 -  19
7
Aidha, Idadi ya makundi ya ufaulu hutofautiana kati ya nchi na nchi kulingana na mahitaji ya nchi husika. Kwa mfano; Kenya wana makundi Kumi na mbili (12), Malawi Tisa (9), Uganda Tisa (9), Nchi za Afrika magharibi (Nigeria, Ghana, Siera Leone na Liberia) makundi Tisa.
2.  Kwa kuzingatia viwango vya ufaulu vilivyoainishwa katika makundi saba yaliyopo kwenye Jedwali na 1, kiwango cha chini cha ufaulu ni gredi D na kiwango cha juu cha ufaulu ni Gredi A. Mtahiniwa atakuwa amefaulu somo husika iwapo atapata gredi D na kuendelea. Aidha, mtahiniwa aliyepata gredi E na F atakuwa hajafaulu somo husika.
3.  Madaraja ya ufaulu yamepangwa kwa mujibu wa kifungu cha 20 (1)-(6) cha Kanuni za Mitihani kinachoelekeza kuwa Ufaulu katika daraja la Kwanza hadi la Tatu upangwe kwa kuzingatia jumla ya alama (Points) na Ufaulu katika Daraja la Nne unapangwa kwa kuzingatia ufaulu wa chini aliopata mtahiniwa ambao ni gredi D katika masomo yasiyopungua mawili au ufaulu kwa kiwango kisichokuwa chini ya Gredi C katika somo moja. Hivyo, madaraja yaliyotumika ni kama yanavyoonekana kwenye Jedwali la 2.

Jedwali 2: Madaraja yaliyotumika katika CSEE 2013

4. Kwa mujibu wa Kanuni za Mitihani, ufaulu wa somo katika Gredi A hadi C utakuwa ni ufaulu wa “Credit” na Gredi D itahesabika kuwa ni “pass”. Aidha Gredi E na F zitakuwa alama za kufeli.
5. Baraza la mitihani la Tanzania linapenda kutoa taarifa kwamba ufafanuzi wa sifa za kujiunga na mafunzo katika ngazi mbalimbali kwa kutumia mfumo huu mpya wa madaraja utatolewa na mamlaka husika ambapo Kamishna wa Elimu atalitolea ufafanuzi zaidi.
Imetolewa Na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
25 Februari, 2014

STYLE MPYA ZAIDI YA 30+ KITANDANI UKIWA NA MWENZI WAKO (KWA WALIOZIDI MIAKA 18 TU)

Sio siri kwamba mapenzi yanahitaji ubunifu wa hali juu,moja ya ubunifu huo ni ktk style za kupeana maraha..nasi bila hiyana tunarudia somo hili..

1: G - WHIZ..

Katika style hii ya kupeana raha na utamu,mwanamke alale chali ( Uso,Matiti na kila kitu viangalie juu ).Kisha mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume,unaweza kuweka mto chini ya makalio ya mwanamke ili awe more confortable.
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana raha na utamu kuna faida mbili.Mtaenjoy kwa sababu mashine ya mwanaume na Uke wa mwanamke zote zinakuwa ktk level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-Spot,na pili Uke wa mwanamke unajibana kidogo,Ikijibana inaongezeka kuwa tight na kufanya starehe ya tendo kuzidi kuwa tamu.
Pia mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke aki pump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G;Spot.

2: WHEEL BARROW..

Kwenye style hii,mwanamke inama kama vile unataka kujiweka kwenye position ya Doggy,mwambie mwanaume aje nyuma yako,akiwa amesimama,akamate kiuno chako kisha akibebe/akinyanyue usawa wa mashine yako ( itakuwa vizuri akiingiza kabisa mashine yake ) ili uweze kupata balance ibane miguu yako chini ya makalio yake huku mikono yako ikiwa inakupa balance.
Faida ya style hii ni kuwa inaruhusu mashine ya mwanaume iweze kupenya ndani zaidi na mwanaume atapata nafasi ya kuenjoy kuangalia mtikisiko wa makalio yako.
Unaweza kumpagawisha zaidi mumeo kwa kukata kiuno taratibu kulingana na jinsi unavyosikia raha.

3: LEAP FROG..

Hii ni Doggy style iliyoboreshwa,mwanamke akiwa kitandani,ainame halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake avilaze juu ya mto..baada ya hapo kuna haja ya kueleza mwanaume akae wapi??
Hii style inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya mwanaume iweze kuingia ndani kadri apendavyo,na mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto ( kidogo anarelax huku anaenjoy raha na utamu ).
Ili kuongeza raha na utamu zaidi ,mwanamke atumie mkono wake kujisugua kisimi...
Nyingine zinakujia hivi punde......

HILI NDIO TIMBWILI LILILOTOKEA ASUBUHI YA LEO DODOMA MAENEO YA MAKOLE KARIBIA NA BUNGE:

Timbwili lililotokea leo asubuh Maeneo ya Makole karibia na Bunge kati ya wajasiriamali wa wadogo wadogo na seriakli ambapo walitinga askari wa polisi FFU wakiwa wamejazana eneo hilo na baada ya muda mchache lilitinga gari maalumu kwa ajili ya bomoa bomoa  na kuanza kuvunja vibanda vilivyokuwepo maeneo haya ya bunge,
baadhi ya wajasiria mali hao walikuwa wakilalamikia serekali kwa kuwapatia vibali feki vya kufanya biashara maeneo hayo na mwisho wa siku kuja kuwafunjia bila kuwapa taarifa,

akilalamika mama moja kuwa amegharamikia kutengeneza banda lake kwa gharama kubwa na tena kwa fedha za mkopo bila hata kurudisha faida, hakika ungefanikiwa kumwona ungemsikitikia na machozi kukutoka wapo wengine waliozimia katika maeneo yao na kukimbizwa hospitala, baada tukio hilo baadhi wafanya biashara hao wadogo waliandamana moja kwa moja kwenda kwa mkuu wa mkoa.

HATARI SANA ANGALIA MAPICHA:HAKUNA ASKOFU BILIONEA TANZANIA KAMA HUYU ....ULINZI WAKE NI ZAIDI WA RAIS KIKWETE

ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi  kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, Uwazi lina ushuhuda wa kutosha.
Katika mkutano huo uliofanyika Karatu mkoani Manyara, mwandishi wetu alishuhudia msafara wa Geordavie ambaye hutoa huduma ya uponyaji kwa njia za miujiza, ukiwavutia watu wengi kwa kuwa ulikuwa na ulinzi mkali ambao haujawahi kutokea.
Mbali ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi karibuni, askofu huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa yanayomfanya kutajwa kuwa tajiri kuliko maaskofu wengine wanatoa huduma katika makanisa ya kiroho Tanzania.
Akiwa Karatu, mbali na ulinzi binafsi, Geordavie alikuwa akilindwa na askari wa jeshi la polisi, askari kanzu, Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na wale wa usalama barabarani.
Mbali na askari hao wa serikali ambao wamekuwa wakimlinda kila anapofanya mikutano yake, pia Geordavie analindwa na askari wake binafsi hali iliyowafanya baadhi ya watu kuamini kuwa ulinzi wake ni kama ule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’.
“Sijawahi kumuona JK akilindwa na chopa lakini mtumishi wa Mungu Geordavie analindwa na ndege katika msafara wake! Hii ni mara yangu ya kwanza kuona,” alisema muumini mmoja ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Hata hivyo, baadhi ya watu walikuwa wakihoji utajiri wa askofu huyo kutokana na fedha nyingi anazozitumia anapofanya mikutano katika sehemu mbalimbali jijini Arusha.

“Tunajua kuwa ni tajiri, lakini anapata wapi fedha za kutumia hivi?” alihoji muumini aliyejitambulisha kwa jina moja la Julius ambaye naye alihudhuria mkutano wa askofu huyo anayetumia kaulimbiu ya Ngurumo ya Upako katika kutoa huduma yake.
Pia, waumini wengine walilalamikia ugumu wanaoupata wanapotaka  kumuona mtumishi huyo wa Mungu kutokana na ulinzi mkali anaopewa.
“Kila mtu alitamani kumuona mtumishi wa Mungu lakini haikuwezekana kutokana na ulinzi wake kuwa mkali, utajiri wake hakuna mfano, hata kule nyumbani kwake Arusha, anaishi kama Mfalme Daud,” alisema Fred Mushi.
Gazeti hili lilimsaka Askofu na Nabii Geordavie kwa lengo la kutaka kujua sababu ya kuwa na ulinzi mkali na kutumia magari ya kifahari ikiwemo chopa katika mikutano anayoifanya lakini simu yake iliita bila kupokelewa.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI HUYU NDIE MTOTO ALIYECHINJWA NA USTAAADHI HUKO MBAGALA

 Mwili wa marehemu mtoto Jamali aliechinjwa na ustadhi mbagala charambe mianzini

baadhi ya familia wakiwa katika msiba

baadhi ya wakazi wakichungulia nyumba lililotokea tukio la mauaji ya kikatili

  1. mwili wa marehem ustadhi mohamed kurangwa aliemchinja mtoto ukishushwa katika hospitali ya Temeke

ASKOFU BILIONEA BONGO ATIKISA

Stori: Jelard Lucas
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi  kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, Uwazi lina ushuhuda wa kutosha.

Katika mkutano huo uliofanyika Karatu mkoani Manyara, mwandishi wetu alishuhudia msafara wa Geordavie ambaye hutoa huduma ya uponyaji kwa njia za miujiza, ukiwavutia watu wengi kwa kuwa ulikuwa na ulinzi mkali ambao haujawahi kutokea.
Mbali ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi karibuni, askofu huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa yanayomfanya kutajwa kuwa tajiri kuliko maaskofu wengine wanatoa huduma katika makanisa ya kiroho Tanzania.
Akiwa Karatu, mbali na ulinzi binafsi, Geordavie alikuwa akilindwa na askari wa jeshi la polisi, askari kanzu, Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na wale wa usalama barabarani.
Mbali na askari hao wa serikali ambao wamekuwa wakimlinda kila anapofanya mikutano yake, pia Geordavie analindwa na askari wake binafsi hali iliyowafanya baadhi ya watu kuamini kuwa ulinzi wake ni kama ule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’.
“Sijawahi kumuona JK akilindwa na chopa lakini mtumishi wa Mungu Geordavie analindwa na ndege katika msafara wake! Hii ni mara yangu ya kwanza kuona,” alisema muumini mmoja ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Hata hivyo, baadhi ya watu walikuwa wakihoji utajiri wa askofu huyo kutokana na fedha nyingi anazozitumia anapofanya mikutano katika sehemu mbalimbali jijini Arusha.
“Tunajua kuwa ni tajiri, lakini anapata wapi fedha za kutumia hivi?” alihoji muumini aliyejitambulisha kwa jina moja la Julius ambaye naye alihudhuria mkutano wa askofu huyo anayetumia kaulimbiu ya Ngurumo ya Upako katika kutoa huduma yake.
Pia, waumini wengine walilalamikia ugumu wanaoupata wanapotaka  kumuona mtumishi huyo wa Mungu kutokana na ulinzi mkali anaopewa.
“Kila mtu alitamani kumuona mtumishi wa Mungu lakini haikuwezekana kutokana na ulinzi wake kuwa mkali, utajiri wake hakuna mfano, hata kule nyumbani kwake Arusha, anaishi kama Mfalme Daud,” alisema Fred Mushi.
Gazeti hili lilimsaka Askofu na Nabii Geordavie kwa lengo la kutaka kujua sababu ya kuwa na ulinzi mkali na kutumia magari ya kifahari ikiwemo chopa katika mikutano anayoifanya lakini simu yake iliita bila kupokelewa.

Monday, 24 February 2014

MAGAZETI YA LEO 24/2/2014

.
.
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi.
Lengo la millardayo.com ni kuhakikisha kila Mtanzania anaweza kusoma stori kubwa za Magazeti kabla ya saa mbili kamili asubuhi ambapo kwa mwaka 2014 lengo ni kuhakikisha Magazeti yanakuepo hapa millardayo.com hata kabla ya saa moja asubuhi.
Unaweza kujiunga na familia ya Millard Ayo kwenye facebook, twitter na instagram kwa jina la Millard Ayo ili kuwa karibu zaidi ya habari zote zinazowekwa hapa ambazo huwa link zinawekwa kwenye mitandao hii ya kijamii muda mfupi tu baada ya habari kupandishwa hapa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.