
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake

mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi

Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake juzi jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio


Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu bila ya mafanikio.