Diwani wa Kata ya Olasiti Alex Martin ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani katikaKata hiyo ikiwa imepita siku moja baada ya kujiuzulu Diwani wa kata ya Engutoto katika jimbo la Arusha mjini analoongoza Mbunge Godbless Lema CHADEMA.
Alex Martin amesema ameamua kuondoka CHADEMA sio kwamba na ugomvi na Chama ila ameamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg