YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 6 June 2018

ORODHA NZIMA YA MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA ISOME HAPA.



Orodha kamili ya makocha wa kombe la dunia hii hapa
Kocha: Óscar Tabárez
Timu: Uruguay
Miaka: 71
Kocha: Joachim Löw
Timu: Germany
Miaka: 58
Kocha: Carlos Queiroz
Timu: Iran
Miaka: 65
Kocha: José Néstor Pékerman
Timu: Colombia
Miaka: 68
Kocha: Didier Deschamps
Timu France
Miaka: 49
Kocha: Adam Nawalka
Timu: Poland
Miaka: 60
Kocha: Heimir Hallgrímsson
Timu Iceland
Miaka: 50
Kocha: Hernán Gómez
Timu: Panama
Miaka: 62
Kochq: Vladimir Petkovic
Timu Switzerland
Miaka: 54
Kocha: Fernando Santos
Timu: Portugal
Miaka: 63
Kocha: Ricardo Gareca
Timu: Peru
Miaka: 60
Kocha: Héctor Cúper
Timu: Egypt
Miaka: 62
Kocha: Aliou Cissé
Timu: Senegal
Miaka: 42
Kocha: Óscar Ramírez
Timu: Costa Rica
Miaka: 53
Kocha: Age Hareide
Timu: Denmark
Miaka: 64
Kocha: Juan Carlos Osorio
Timu: Mexico
Miaka 56
Kocha: Hervé Renard
Timu: Morocco
Age: 49
Kocha: Tite
TiMu: Brazil
Miaka: 57
Kocha: Janne Andersson
Timu: Sweden
Miak: 55
Kocha: Julen Lopetegui
Team: Spain
Age: 51
Coach: Roberto Martínez
Team: Belgium
Age: 44
Coach: Gernot Rohr
Team: Nigeria
Age: 64
Coach: Stanislav Cherchesov
Team: Russia
Age: 54
Coach: Gareth Southgate
Team: England
Age: 47
Coach: Nabil Maaloul
Team: Tunisia
Age: 55
Coach: Jorge Sampaoli
Team: Argentina
Age: 58
Coach: Tae-Yong Shin
Team: South Korea
Age: 47
Coach: Zlatko Dalic
Team: Croatia
Age: 51
Coach: Juan Antonio Pizzi
Team: Saudi Arabia
Age: 49
Coach: Bert van Marwijk
Team: Australia
Age: 66
Coach: Mladen Krstajic
Team: Serbia
Age: 44
Coach: Akira Nishino
Team: Japan
Age: 63
Unandhani ni kocha yupi ataopoa hapo

SIMBA WAUWAWA KWA KUPEWA SUMU


Jana June 5, 2018 stori kutoka Jeshi la Polisi mkoani Mara limewatia mbaroni watu watatu kwa tuhuma za kuwapa sumu simba tisa katika mbuga ya Serengeti.
Inaelezwa kuwa maafisa wa mbuga ya Serengeti  waligundua mizoga ya simba wikiendi iliyopita na walikuta watuhumiwa hao wamewakata mikia na miguu simba hao na kuondoka nayo.
Msemaji wa Hifadhi ya Taifa Pascal Shalutete amesema kuwa waligundua vifo vya simba hao baada ya kula mizoga ya ng’ombe waliokuwa wakifugwa kandokando ya hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mbuga ya wanyama ya Serengeti ndio mbuga kubwa na mashuhuri nchini Tanzania ikiwa na kilomita zaidi ya elfu 14 huku kwa mwaka ikitajwa kutembelewa na watalii zaidi ya laki tatu na nusu.
Aidha watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika.

ALICHONING'INIZA ZUGU BUNGENI LEO


VILIO VYATAWALA MAZISHI YA MARIA NA CONSOLATA


Leo June 6, 2018 Watu mbalimbali wamejitokeza kuwaaga Pacha waliounganaakiwemo Waziri Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.  Joyce Ndalichako ambapo ametoa heshima za mwisho kwa Miili ya Maria na Consolata.


AJARI YA BASI NA TRENI YAUA


Leo June 6, 2018 Bus la  Princess HAMIDA trans lenye namba za usajili T 885 DLD linalotoka Kigoma kwenda Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora limegonga gari moshi la mizigo katika eneo la Gungu Wilaya ya Kigoma mjini.
Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi.
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora.