Tuesday, 21 August 2012
Monday, 20 August 2012
SASA FIESTA YAANZA LINDIMA MOSHI...BHAAAAAAAAAAAASI!!!
PICHA 12 ZA MISHEMISHE ZA SERENGETI FIESTA 2012 MOSHI!
Posted: 20th August 2012 by MillardAyo in News
1
Njiani kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya Fiesta 2012 tutakayo enjoy pamoja Ijumaa august 24 tukiwashuhudia wakali kibao kwenye stage kama CMB Prezzo, Shetta na wengine kibao.
ANGALIA BAO LA EVERTON AKIIFUNGA MAN U.
Mechi ya Manchester United na Everton kwenye msimu mpya ilisubiriwa kwa hamu sana, mojawapo ya sababu za watu kuwa na hamu ya kuicheki ni kutokana na ahadi aliyoitoa kocha wa Man U Sir Alex Ferguson baada ya kumsajili Robin van Persie akitokea Arsenal, aliahidi kwamba atamchezesha jamaa hivyo watu wengi wakawa na hamu ya kuitazama mechi ambayo Everton ndio wameibuka washindi kwa goli moja mfungaji akiwa ni Fellaini.
Hii hapa chini ndio video inayoonyesha jinsi goli lilivyofungwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)