Japokua staa huyu wa single za ‘Nai nai’ na ‘baadae’ hajataka kuweka wazi kwamba ni mamilioni mangapi yametumika kuitengeneza video yake ya kwanza kuifanya South Africa na ya kwanza kwa gharama kubwa, amekubali kushea na familia ya millardayo.com baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa hii video ya ‘baadae’ huko Johannesburg Afrika kusini.
Model Tully ambae amehusika kwenye video kadhaa za mastaa wa South Africa pamoja na matangazo mbalimbali ya biashara.
Huyu ni Luclay mwakilishi wa South Africa kwenye BBA 2011 na hapa aliomba kumpiga picha Ommy Dimpoz ili akamuonyeshe mpenzi wake kwamba amekutana na staa kutoka Tanzania.
Ommy Dimpoz baada ya kwenda shopping alikutana na warembo wa Kikenya ambao kumbe ni mashabiki zake wakaomba kupiga picha, huyu ni wa kwanza.
Picha zinazofata hapo chini ni kutoka kwenye video fupi ambayo ilitangulizwa kama teaser ya video kamili ya single ya ‘baadae’ ya Ommy Dimpoz.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg