Njiani kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya Fiesta 2012 tutakayo enjoy pamoja Ijumaa august 24 tukiwashuhudia wakali kibao kwenye stage kama CMB Prezzo, Shetta na wengine kibao.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama kwenye interview na Clouds Fm na Clouds Tv nyumbani kwake ambapo yeye ndio atafungua rasmi Serengeti Fiesta 2012 kwenye mkoa wake ukiwa mkoa wa kwanza kuanza na Fiesta mwaka huu.
Simon Simalenga wa Clouds Media Group na mkuu wa mkoa Leonidas Gama.
Team Clouds ikiwa na mkuu wa mkoa.
Producer Erick Kusaga na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
Millard Ayo na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg