Mechi ya Manchester United na Everton kwenye msimu mpya ilisubiriwa kwa hamu sana, mojawapo ya sababu za watu kuwa na hamu ya kuicheki ni kutokana na ahadi aliyoitoa kocha wa Man U Sir Alex Ferguson baada ya kumsajili Robin van Persie akitokea Arsenal, aliahidi kwamba atamchezesha jamaa hivyo watu wengi wakawa na hamu ya kuitazama mechi ambayo Everton ndio wameibuka washindi kwa goli moja mfungaji akiwa ni Fellaini.
Hii hapa chini ndio video inayoonyesha jinsi goli lilivyofungwa.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg