YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday, 28 June 2014

HUYU NDIYE MWANARIADHA MWENYE UJAUZITO WA MIEZI 8 ALIYEKIMBIA MITA 800 KWA DAKIKA 2

Alysia Montano, mwanariadha wa kike na mshiriki wa Olympic aliyewahi kushinda mara tano mashindano ya riadha ya Marekani ambaye hivi sasa anaujauzito wa miezi 8, bado anashiriki riadha na hali aliyonayo.
Alysia amewashangaza wengi baada ya kukimbia umbali wa mita 800 kwa dakika 2 na sekunde 32 huko California, juzi (June 26), ikiwa amechelewa sekunde 35 tu ya uwezo wake wakati akiwa hana ujauzito.
Mwaka 2010, mwanamke huyo akiwa katika hali nzuri alikimbia mita 800 kwa dakika 1 na sekunde 57.
Mwanariadha huyo ameeleza kuwa yeye anajisikia vizuri kukimbia umbali huo akiwa na ujauzito na kwamba amekuwa akifanya hivyo katika kipindi chote cha ujauzito na ameruhusiwa na daktari.
“I've been running throughout my pregnancy and I felt really, really good during the whole process.” Alisema baada ya kumaliza kukimbia.

Wema Sepetu Na Kajala Walimaliza Kabisa Beef Lao Katika Kibao Kata Cha Imelda Mtema.


Kajala, Aunty, Wema, Zamaradi na Maimatha wakiwa katika kibao kata cha Imelda
Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na beef lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibuw a taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza beef lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.

 Katika event hiyo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika "nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"


CALVIN-OBELD-blog..: kurasa za magezti leo 29/6/2014

CALVIN-OBELD-blog..: kurasa za magezti leo 29/6/2014: . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazet...

Hallow people...

kurasa za magezti leo 29/6/2014

.
.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

MISS DODOMA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YA DHAHABU NA MH ANTONY MAVUNDE:



Afisa mtendaji Mkuu wa shirikisho la Vyama Vya wachimbaji Madini Tanzania(FEMATA) Ndugu Mh; Antony Peter Mavunde (wa pili kushoto); akiwa na mwandaaji ya Tamasha Miss Dodoma Mama Kiwaya (wa kwanza kulia) pamoja na dada Dora (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Dhahabu Miss Dodoma Adelaida Barbnaba,Ikiwa sehemu ya udhamini wa Shirikisho hilo katika shindano la Miss Dodoma 2014

Miss Dodoma 2014 Adelaida Barbnaba akifurahia baada ya kukabidhiwa zawadi ya Dhahabu na Mh Antony Mavunde

Mh antony Mavunde akiwa na Miss Dodoma Adeleida barnaba

KUTOKA MOROGORO, SHOW YA AFANDE SELE

118seleUsiku wa June 27 ni usiku uliokuwa na burudani nyingi sana hasa kwa zile ambazo uliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma kiukweli ni jukwaa lililowakutanisha wakali wengi wa muziki wa zamani wa muziki wa kizazi kipya ambao wengi wao hujapata nafasi ya kuwasikia hivi karibuni.
159seleMiongoni mwa watu ambao niliwaona kwenye stage ambao ni pamoja na Daz Baba,O ten,Mapacha,Man dojo&Domokaya,Jitaman ambao kwa pamoja walipata sapoti kutoka kwa wadogo zao Barakah Da Prince na Chriss Omarya.
Ilikua ni list fulani hivi ambayo iliwafanya watu wengi waliokusanyika ukumbi wa Msamvu Terminal Pub kujawa na hamu mpaka alipokuja kumaliza Afande Sele ambaye alikua mtu wa mwisho kuperfoam ambapo allianza kuuperfoam wimbo wa Elimu Dunia aliyoshirikishwa na Daz Baba.
Baadhi ya picha za show miaka 10 ya Mfalme wa Rhymes iliyokua Morogoro.
165sele
10sele
18seleChriss omarya
20seleZombi President
24seleJitta Man kutoka Mwanza nae alikuwepo.
32seleBarakah Da Prince
36seleMapacha[Vinega]
48sele
47seleChigga Son kutoka Planet Fm Morogoro.
46sele
44sele
42sele
41sele
49sele
51sele
54seleMan Dojo
56seleO-Ten
58sele
60seleO-ten On stage
70sele
67sele
64sele
63sele
62sele
61sele
75sele
77sele
79sele
80sele
81sele
83sele
105seleAfande Sele na Ballet Walet.
101seleAfande Sele na Daz Baba wakiimba Elimu Dunia.
95sele
93seleAfande Sele na wadau wa Morogoro
92seleAfande Sele,Man Dojo na Jose wa Morogoro
90sele
110sele
115sele
116sele
117sele
118sele
119sele
143sele
135sele
129sele
126sele
123sele
122sele
145sele
147sele
149sele
150sele
153sele
154sele
181sele
172sele

159sele
158sele