Thursday, 6 June 2013
HII NDIO HALI YA KHADIJA KOPA MARA BAADA YA KUPOKEA TAARIFA ZA MSIBA WA MUMEWE KIPENZI HII LEO...!!
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye
maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
|
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)
DULLY ATANGULIA NYUMBANI KWAO MAREHEM NGWEA
Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa muda wa siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na afande sele na wananchi kibao
WANANCHI WA MIKESE WAUSIMAMISHA MSAFARA KUMUAGA NGWEA
Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage, akizungumza na Cloud Fm "Moe Fire" amesema walikutana na kundi la watu na kudhani labda kuna tatizo. Baada ya kusimamishwa na trafic na kuuliza tatizo ni nini, Trafic alisema kuwa wananchi hao wamekusanyika na ili kuuaga mwili wa marehem Ngwea
M2THEP AWASILI TANZANIA NA YUKO NJIANI KWENDA KUMZIKA ALBERT MANGWEA
Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa. Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania. "tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea,
KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE
MAZISHI YA NGWEA YAKAMILIKA MENEO YA KIHONDA MKOANI MOOGORO
Hatimae leo hii, msanii Albert Mangwea, amefikishwa katika nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi. watu wakusanyika kumlaza Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga
MR NICE ATEMWA GRANDPA RECORDS AZIKOSA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 141
Subscribe to:
Posts (Atom)