Clouds Fm ilikuepo pia.
Washindi wa Dance la Fiesta baada ya kutangazwa kikundi hiki kinaitwa Buddies Boys
Jaji mkuu wa Dance la Fiesta Adam Mchomvu.
Meza ya majaji.
Wananchi wakifatilia Dance la fiesta.
Nickson George aka Lugha Kali ndiye alikua Host wa Dance la Fiesta.