Siku mbili baada ya kuapishwa na JPM, Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amewasili Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro kusalimiana na Viongozi wa chama hicho ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumza ni kuisimamia Ilani ya CCM,kushirikiana na wananchi pamoja na kusimamia mambo ya kijamii.
ULIPITWA? Yote aliyoyasema Rais Magufuli June 1 2017 yako hapa chini kwenye hii vide
o
o