T.I.D msanii wa long time kwenye game ya bongoflava tangu enzi za Zeze,Siamini hadi leo hii na Kiuno na bado anafanya vizuri. Wiki kadhaa zilizopita baada ya kumaliza msiba wa mshikaji wake Mangwea, T.I.D alisafiri kwenda England kufanya show ambako huko pia ndiyo alifanya interview inayozungumziwa sana hivi sasa kwenye mitandao. Chukua time kidogo kumcheki T.I.D akiwa kwenye mitaa ya huko UK. |
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg