"Ni kweli nilikuwa natumia madawa lakini nashukuru mungu kuwa leo ni miezi saba tangu nimeachana na tabia ya ulaji bwimbwi, ni vigumu lakini nashukuru kupitia ibada na ushauri wa watu nimefanikiwa na leo hii ninapata nafasi ya kusimama tena mbele ya jamii kuomaba radhi kuwa kijana wao nilipotea lakini sasa nimerudi kufanya kile ambacho walikikisa kwa muda mrefu kutoka kwa Chillah" kauli ya Q…
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg