Mke wa Mzee Nelson Mandela, Winnie Madikizela–Mandela akizungumza na vyombo vya habari baada ya kumtembelea Rais wa zamani wa Afrka ya kusini Mzee Nelson Mandela hapo jana ijumaa
Akiendelea kuzungumza na vyombo vya habari nje ya hospitali alikolazwa mzee Nelson Mandela
Baadhi ya watu waliofika hospitalini hapo wakimpa moyo mke wa Mzee Nelson Mandela
Endelea kusoma zaidi kwa kubofya hapa chini
Hiki
ni chombo maalumu (kinachotumia remote) chenye mwonekano kama wa
helicopter ambacho kimefungwa kamera kikiwa kinazunguka kwenye maeneo ya
hospitali ya Mediclinic Heart iliyoko kwenye mji wa Pretoria nchini
Afrika ya Kusini.
Mtotot
akiwa kapumzika nje ya jengo la Uhuru akiwa ameweka picha ya Nelson
Mandela kwenye maua hujo Pretoria, Afrika ya kusini hapo jana ijumaa
Mtoto mdogo akiwa ameshika picha ya rais wa kwanza mwafrika nchini afrka ya kusini mzee Nelson Mandela
Baadhi ya wanachi wakiomba kwa ajiri ya afya ya mzee Nelson Mandela
Mtoto
Lesibana Kekana mwenye miaka mitano(5) akionesha upendo wa nchi yake
baada ya kuonekana usoni ana bendera ya Afrika Kusini kwenye maeneo ya
Soweto
Kweli
kufa kufahana, baadhi ya wafanya biashara wakiuza khanga zenye pica ya
Rais wa zamani, mzee Nelson Mandela nje kidogo ya hospitali ya
Mediclinic Heart alikolazwa mzee Mandela
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg