Roma ameanza kwa kusema>>’Kweli mwanangu mama alivosikiaga KKK alichukia sana na kuniuliza kwanini nimetukana kwenye wimbo,basi baada ya hapo kila nikimpigia akawa hapokei simu zangu karibu siku 4′.
Roma pia amesema kuwa KKK ndiyo single yake ambayo mpaka sasa inamshangaza kwa aina ya matukio yanayojitokeza ikiwemo ile ya madereva boda boda na Bajaj kuandamana hadi studio ilikotengezwa huo wimbo kuomba kuwekewa kwenye flash na memory card zao kwa ajili ya kusikiliza.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg