Mmoja wa Marappa mahiri kutoka nchini Marekani atambulikae kwa jina la Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaoangusha bonge la shoo la kusambaza upendo kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake,katika onesho la Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika ndani ya
Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam Oktoba 18.
T.I atafanya makamuzi pamoja na wasanii wengine mahiri wa hapa
nchini,watakao pangwa kushusha bonge la burudani kwa wale watakaobahatika kupangwa kwenye orodha ya Oktoba 18, mwaka huu jijini
Dar.
Nguli huyo mwenye albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban
Legend, King, T.I. vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man:
Heavy Is the Head ambapo nyingi kati yake zimefanya vyema katika
soko la muziki. T.I ameshinda tuzo tatu za Grammy tangu aanze safari yake ya muziki.
Baadhi ya singo kali alizoachia mkali huyo na kufanya vyema ni "Bring
Em Out", "What You Know", "Big Shit Poppin' (Do It)", "Swagga Like Us"
(FT Kanye West, Jay-Z na Lil Wayne), "Dead and Gone" (FT Justin
Timberlake), "Ball" (FT Lil Wayne) na "No Mediocre" (FT Iggy Azalea).

No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg