YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 9 June 2013

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013 RED CARPERT, CHEKI WATU WALIVYOTEKELEZEA


 Salma Msangi
 Zahir Zoro
 Baba Jonii Adam Mchomvu :READ MORE HAPO CHINI
 Stamina
 Izzo Biznes
 Walter Chilambo
 Quick Racka
 Ben Pol
 Asia Idarius na Mumewe
 Makomando
 Kala Jeremiah
 Deo & Aneth Kushaba
 Luiza
 Lady Haha & Shadee
B12 & Dakota 
 Papa Misifa
 Anna Pita
 Sauda Mwilima
 Barnaba 
Mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea n Kitale
 Man Water
 Jaq
 Mboni Masimba "The Mboni Show"
 Hamidu & Dulla
 Da Week End Show Team
 Mustafa & Deo
Perfect & Mwana Fa
 Nickson & Bonge la Nyau
Dulla

MAGAZETI YA LEO TAREHE 9/6/2013 JUMAPILI


HII NDO LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KILLLIMANJARO MUSIC AWARDS- 2013


Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma, Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele.

Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwele na TJ.

Hii ni list nzima ya tuzo hizo.

Wimbo bora wa mwaka
Dear God – Kala Jeremiah

Msanii bora wa Kiume
Diamond

Msanii bora wa kike 
Lady Jaydee

Msanii bora wa kike Taarab
Isha Mashauzi

Msanii bora wa kiume Taarab
Mzee Yusuf

Msanii bora wa kiume Bongo Flava
Diamond

Msanii bora wa kike Bongo Flava

Recho

Msanii bora wa Hip Hop
Kala Jeremiah

Msanii bora wa kiume Bendi
Chalz Baba

Msanii bora wa kike Bendi
Luiza Mbutu

Msanii bora anayechipukia
Ally Nipishe

Video bora ya mwaka
Baadaye – Ommy Dimpoz

Mtunzi bora wa mashairi Taarab
Mzee Yusuf

Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava
Ben Pol

Mtunzi bora wa mashairi hip hop

Kala Jeremiah

Mtunzi bora wa mashairi Bendi
Chalz Baba

Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya
Man Walter

Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka – Taarab
Enrico

Mtayarishaji wa wimbo mwaka – Bendi
Amoroso

Mtayarishaji chipukizi wa mwaka
Mesen Selekta

Rapper bora wa bendi
Fagasoni

Wimbo bora wenye vionjo vya asili
Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto

Wimbo bora wa bendi
Risasi Kidole – Mashujaa Band

Wimbo bora wa Reggae
Kilimanjaro – Warriors from The East

Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Valu Valu – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Bongo Pop
Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee

Wimbo bora wa kushirikiana/Kushirikishwa
Me and You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee


Wimbo bora wa Hip Hop
Nasema Nao – Nay wa Mitego

Wimbo bora wa rnb
Kuwa na Subira – Rama Dee ft. Mapacha

Wimbo bora wa ragga/ dancehall
Predator – Dabo

Wimbo bora wa Taarab

Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa

Wimbo bora wa zouk rhumba 
Ni wewe – Amini

Bendi bora ya mwaka
Mashujaa Band

Kikundi bora cha Taarab

Jahazi Modern Taarab

Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya
Jambo Squad

Hall of Fame – Institution
Kilimanjaro Band wana Njenje

Hall of Fame – Individual
Salum Abdallah

Thursday, 6 June 2013

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMISI JUNE 6 2013


1 37d70
2 5eef7
4 0cbd7
5 860a7
6 f55a8
7 9c6e0
8 e21e9
9 10592
10 5f295
11 46d25
12 e06ae
13 8c572
14 efc4c
15 362f2
16 6b27d
17 58e98
18 04b6c
19 82f34
Share this article :

CHECK HAPA WANA EAST ZUU KUTOKA DODOMA WAKIWAKILISHA DODOMA:







ERICK MSHANA NA WENGINE KIBAO WAKIWAKILISHA EAST ZUU KUTOKA DODOMA:


HII NDIO HALI YA KHADIJA KOPA MARA BAADA YA KUPOKEA TAARIFA ZA MSIBA WA MUMEWE KIPENZI HII LEO...!!



Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye 
maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. 

Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)

DULLY ATANGULIA NYUMBANI KWAO MAREHEM NGWEA


    Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa muda wa siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na afande sele na wananchi kibao 

WANANCHI WA MIKESE WAUSIMAMISHA MSAFARA KUMUAGA NGWEA


 Wanamchi wa maeneo ya mikese, wamekusanyika na kuusimamisha msafara uliobeba mwili wa marehem Ngwea kwa kutaka na wao wamuage, akizungumza na Cloud Fm "Moe Fire" amesema walikutana na kundi la watu na kudhani labda kuna tatizo. Baada ya kusimamishwa na trafic na kuuliza tatizo ni nini, Trafic alisema kuwa wananchi hao wamekusanyika na ili kuuaga mwili wa marehem Ngwea 

M2THEP AWASILI TANZANIA NA YUKO NJIANI KWENDA KUMZIKA ALBERT MANGWEA


    Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa. Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania. "tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi  changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea,

KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE


 
  Malkia wa mipasho Khadija Omari Kopa amefiwa na mumewe (Jaffari Ally) usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo, jijini Dar es salaam.Marehem alilazwa katika hospitali hiyo siku ya jumatatu ya wiki hii, na mpaka anafariki mke wake (Kadija Kopa) alikuwa Rukwa kikazi ambapo leo hii anatarajiwa kufika jijini Dar kwa ajili ya mazishi ya mumewe. msiba kwa Dar upo

MAZISHI YA NGWEA YAKAMILIKA MENEO YA KIHONDA MKOANI MOOGORO


 Hatimae leo hii, msanii Albert Mangwea, amefikishwa katika nyumba yake ya milele, katika makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi.   watu wakusanyika kumlaza Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele   M2TheP akimuaga mshikaji wake wa karibu, marehem Albert Mangwea, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro   Maelfu ya wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga

MR NICE ATEMWA GRANDPA RECORDS AZIKOSA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 141



 
  Baada ya story nyingi kutapakaa, kupitia mitandao mbali mbali hasa ya nchini Kenya, kuwa msanii Mr Nice ametemwa na record iliyokuwa ikimsimamia kazi zake (Grandpa Recods) iliyoko jijini Nairobi kwa kisa cha yeye kupenda pombe, wanawake na kupigana hovyo, kitu kinachopelekea kuchafua picha ya kampuni hiyolakini pia kusahau majukumu yake anayotakiwa kuyakamilisha kama msanii