YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday, 3 November 2012

MAGAZETI YA JUMAPILI YA LEO NOV 4 NDIO HAYA


0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Azam FC vs Yanga, nani kukaa juu ya mwenzake leo?




Yamebaki masaa tuu kabla ya miamba miwili ya soka la Tanzania Yanga SC  (timu ya wananchi) na Azam FCkushuka kwenye uwanja wa Taifa jijina Dar es Salaam.
Picha juu ni kwa hisani ya Tovuti maarufu ya soka nchini ya Galacha (www.kandanda.co.tz)
Hii ni mechi ya kisasi, kwa kuwa Yanga watajaribu kulipa kipigo kichungu cha 3-1 kwenye ligi kuu huku Azam FC naowakijaribu kulipa kipigo cha 2-0 kwenye CECAFA Kagame Cup.
Kuwa kutilia maanani uzito wa mechi ya leo, benchi la ufundi la Yanga lilitua Chamazi kujaribu kuifanyia ushushushuAzam FC huku wakiweka kambi Bagamayo utadhani wanajiandaa kukwaana na mahasimu wao wa jadi Simba SC.
Azam FC ambayo imeongezewa makali baada ya kumrejesha kocha wake anayeijulia sana Yanga Stewart Hall nayoimekuwa kambini Chamazi ikijiandaa na mtanange huo.
Vikosi vyote viwili havina majeruhi baada ya wachezaji wa Yanga Said Bahanuzi na Kevin Yondani kurejea kama ilivyokwa Azam FC ambapo beki wake wa kushoto Waziri Salum amerejea kikosini kama ilivyo kwa John Bocco.
Akizungumza na Mtandao wa Azam FC, mshambuliaji Kipre Tchetche ambaye ndiye anayeongoza kufunga magolimsimu huu alisema wapo katika hali nzuri na inshallah kwa rehma za Mwenyezi Mungu Tutashinda.
Mechi hii itatangazwa moja kwa moja na Kiss FM

Friday, 26 October 2012

RAIS KIKWETE ASHIRIKI KATIKA IBADA YA EID EL FITRI HUKO KIJIJINI MSOGA.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Iddi katika Masjid Rajab kijijini kwake Msoga-Chalinze leo Asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walishiriki swala ya Iddi katika Masjid Rajab Kijijini kwake Msoga, kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi

HIZI NDIO PICHA ZA AJALI ALIYOIPATA P DIDDY.


Rapper Diddy amepata majeraha baada ya gari lake kupata ajali Beverly Hills hotel Los AngelesMarekani.
.
.
Akitoa maelezo kwa polisi.
.
.
.
.

AFTER PARTY YA MOVIE YA JAMES BOND BONGO OCT 25 USIKU.

0
.
.
.
.
.
.
Shaa, Madame Ritha na Master J
Kwisa na Faraja Kyarwenda.

MAGAZETI YA LEO NDIO HAYA NA STORI KUBWA ZA MICHEZO, HARDNEWS NA UDAKU.

0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.