YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 16 February 2014

BALAA:BINTI ANASWA AKICHEZEWA NYETI ZAKE HADHARANI....

!





AHA ZINGINE JAMANI BALAA KWA KWELI...........!!!!!! JAMAA LIMEMBAMBIA DEMU KIMAUSONGO......JAMANI HIVI NI SAHIHI KWELI KUSHEREKEA SIKUKUU KWA STYLE HII......!!!!????
- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/02/balaabinti-anaswa-akichezewa-nyeti-zake.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.pVtsnxbh.dpuf

VALENTINE'S DAY...AFUMANIWA, APIGWA, AZIMIA,ALISHONA NGUO NYEKUNDU, AKAENDA KULA BATA NA MUME WA MTU



SIMULIZI ya mrembo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja inatia majonzi na huzuni lakini habari mbaya zaidi ni kwamba alifumaniwa na mwanaume wa mtu, katikati ya 

shamrashamra za Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, akapewa kichapo hadi akazimia, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi.

Mrembo aliyefumaniwa akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia.
Tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi, lilitokea Februari 14, mwaka huu, katika ukumbi mmoja wa ‘kulia bata’ uliopo Temeke jijini Dar es Salaam.
HARUFU YA KASHESHE
Awali, paparazi wetu aliyekuwa akijivinjari ukumbini humo akiwa na njaa ya habari, alimuona dada huyo akiwa na mwanaume mmoja mtanashati wakiwa wamekaa chobingo wakionekana kama vile ni mke na mume halali.

Wakiwa wamejiachia huku wakifurahia sikukuu hiyo ambayo kwa hapa Bongo imegeuzwa maana yake na kufanywa kuwa siku ya ngono, kamera ya Ijumaa Wikienda, iliamua kutulia kwa muda na kuwafuatilia.
 Wawili hao walikuwa kivutio kikubwa miongoni mwa wapendanao waliokuwemo ukumbini humo hasa kwa namna walivyovalia mavazi yao na kupendeza.
Mrembo akiwa amezimia baada ya kipigo.
RANGI NYEKUNDU
Katika kile kilichoonekana mrembo huyo alikuwa amepania sikukuu hiyo, alikuwa amevalia sketi na blauzi nyekundu, zenye ‘material’ ya bazee na jamaa naye akiwa ametupia jinzi la bluu na shati rangi ya damu ya mzee.

Wakiwa wanaendelea na stori za hapa na pale huku wakionekana kuwa wamekolea kwa kinywaji, dada mmoja alipita eneo lile na kusimama kwa muda mrefu akiwakazia macho, jambo lililomfanya paparazi wetu kuachana na mambo mengine na kusubiria kitakachotokea.
TIMBWILI
Haikuchukua hata dakika tano, yule dada alirudi akiwa na kampani yake, huku mwanamke mmoja ambaye alijitaja kuwa ni mke wa njemba yule akimvamia yule dada na kuanza kumpa kichapo.

“Nimekuvumilia sana wewe malaya, kwa nini unaniharibia maisha yangu? Mume wangu hatulii nyumbani, mi nahangaika na watoto, wewe unakula raha huku. Tena usivyo na haya umevaa na nguo mpya kabisa za Valentine, leo utanitambua,” dada huyo alisikika akisema kwa sauti huku akiendelea kumpa kichapo.
Jamaa (mume) alipoona soo limekuwa kubwa, alitimua mbio na kuacha timbwili likiendelea.

AZIMIA
Kipigo kilikuwa kikali na kwa bahati mbaya watu walichelewa kuamulia ugomvi huo hali iliyosababisha mrembo aliyekuwa akichezea kichapo kupoteza fahamu.

Wasamaria wema walipoona hali imekuwa mbaya kiasi kile, waliwaamulia, kisha wakatoa taarifa kwa uongozi wa ukumbi ambapo viongozi walifika haraka na kuwakamata mwanamke aliyekuwa akitoa kichapo na wapambe wake.
WAFUMANIAJI MIKONONI MWA POLISI
Wakati walioanzisha vurumai lile wakiwa chini ya ulinzi huku mrembo yule akipepewa, baunsa mmoja wa ukumbi huo alitoka nje na kuwaita polisi ambao baada ya muda mfupi waliingia ukumbini humo.
Polisi hawakutaka kupoteza muda, waliwakamata wanawake hao kisha wakawatia pingu na kwenda nao kituoni.

Njiani, dada yule aliyekuwa amezimia alikuwa akiendelea kukupewa ili aweze kupata hewa na kuzinduka, jambo ambalo halikuzaa matunda.
Habari zilipopatikana baadaye zilieleza kuwa, wanawake wale walitiwa ndani baada ya kuchukuliwa maelezo yao wakati mrembo aliyechezea kichapo akipelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu, Temeke, Dar kwa matibabu.
Zoezi hilo lilifanyika baada ya taarifa za mrembo huyo kuingizwa kwenye fomu ya polisi nambari tatu ‘(PF3), huku waliompa kichapo wakisubiri mrembo huyo apone ndipo shauri lao liendelee.
Hata hivyo, mrembo huyo alirejewa na fahamu muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini ambapo matibabu yalianza mara moja.

CDT:GPL

HAKI YA MUNGU HUYU DOGO KAMA ALIKUWA ANAJIFUNZA UWIZI KWA BALAA HILI LILILOMKUTA HATA AKIONA SHILINGI MIA BARABARANI HAOKOTI


Na Mwandishi wa Xdeejazy Dar
Kijana mmoja asiyefahamika jina lake jana mchana alijikuta akichungulia umauti kufuatia kuchezea kichapo cha mbwa mwizi kwa kosa la uwizi wa simu.


Tukio hilo lililorusha kwenye mtandao mmoja ilieleza jinsi kijana huyo alivyokuwa anawaimbia wananchi mtaani kwao ambako hata hivyo haikufahamika ni mitaa gani.
Wananchi wengi walijikuta wakisema kuwa kwa kipigo kile kijana huyo kama atarudia kumuibia mtu tena basi atakuwa na roho ya chuma si ya wanadamu wa kawaida na huenda hata akiona shilingi mia barabarani haiguzi kwa kuogopa kipigo.

HII KALI JAMANI: MWANASOKA MAARUFU AVUA NGUO ZOTE NAKUBAKI NA CH*P* TU! [PICHA]


BONYEZA HAPA ILI UJIUNGE NA FACEBOOK FANS PAGE YETU :


Nigerian footballer, Obafemi Akinwunmi Martins who also plays as a forward for Seattle Sounders FC has got a great body and doesn't mind showing it off.
The super eagles player showed off his abs in a black Versace speedo.

Obafemi who is not married has three kids by three different women.

He is currently dating, Abigail Barwuah, elder sister of Italian footballer, Mario Balotelli's and they have been together for almost 2years.

Sunday, 29 December 2013

MAVAZI YA NUSU UCHI, MAUNO NA UFUNDI WA KUTUMIA VIUNGO UTAMPELEKA WAPI SNURA MUSHI WA MAJANGA NA WENZIE?


KWA wasiomfahamu msichana huyu, wanamuona kama chipukizi aliyeukwaa ustaa ghafla, lakini wanaofuatilia mambo ya sanaa na burudani, wanamfahamu kitambo. Ninamzungumzia Snura Mushi, ambaye anatamba sana na kibao chake cha Majanga...

Ni mmoja kati ya wasanii wapambanaji, wakisaka mafanikio kwa kujaribu kila aina ya njia. Amejaribu kwa muda mrefu katika filamu, lakini hakuweza kufanikiwa ‘kuchomoka’. Kama angetambua tokea mapema kuwa angeweza kuibuka mara moja katika muziki, nadhani asingepoteza muda wake mwingi kwenye filamu. 

Wimbo wake wa Majanga umeiteka familia ya muziki wa mduara, huenda kwa sasa ni mmoja kati ya wasanii wachache wanaopata nafasi ya kutakiwa sana katika majukwaa na hivyo kumfanya pia awe anapata hela za kutosha.

Katika uigizaji, alifanikiwa kucheza vizuri katika filamu kadhaa, ingawa kama ninavyosema mara zote, viwango vibovu vya sinema za Tanzania vilisaidia kumfanya asing’ae! 

Wimbo wa Majanga imempandisha sana chati, kwani licha ya maneno yake yaliyopangiliwa vizuri, pia midundo yake imeongeza thamani ya kibao hicho.

Lakini kama kuna kivutio zaidi katika maonyesho ya Snura, hasa katika wimbo wake huu, basi ni yeye mwenyewe. Ni kivutio kwa sababu anacheza wimbo wake kwa namna ambayo, ni mchanganyiko wa mshangao na hamasa za kingono. 

Licha ya kucheza kwa umahiri mkubwa huku akikitumia zaidi kiuno chake, hali huwa tete pale anapoyatingisha na kuyatetemesha makalio yake huku akiwa amewapa mgongo mashabiki wake ambao hulipuka kwa shangwe.

Uvaaji na uchezaji wake hauvutii machoni mwa watu wenye kuzingatia maadili ya Kitanzania, kwa maana ya tabia njema. Ni kweli anashangiliwa sana, lakini natia shaka kidogo kama kinachoshangiliwa ni muziki wake au ni namna anavyocheza. 

Akili yangu inaamini anashangiliwa kwa namna anavyocheza. Na kama hivi ndivyo, basi si jambo la kujivunia hata kidogo. Uchezaji wa msanii huyu, haustahili mbele ya watoto wetu wanaoupenda muziki wake na wala haupendezi machoni mwa wanaharakati wa maadili. 

Binafsi ninaamini Snura ameshauwezea aina ya muziki wake huu, ndiyo maana ameanza kupata washindani kama Shilole, ambaye naye kwa bahati mbaya, anaamini katika kukata mauno, uvaaji usiofaa na ufundi wa kuchezea viungo vyake!

Uchezaji na uvaaji wake unaonekana pia nchi nzima kupitia video yake. Ni wazazi wachache wanaoweza kufurahia kuutazama wakiwa na watoto wao. 

Kuna wakati nilipata kumsikia akitangaza kusaka mtu wa kumuoa. Kwa uchezaji ule jukwaani, sidhani kama anaweza kumpata mume anayemhitaji, isipokuwa watu wengi wenye tamaa ya ngono wanaweza kujitokeza. Hakuna mume makini anayeweza kukubali mkewe acheze na kuvaa namna ile. 

Labda kwa faida yake binafsi nimshauri kujitazama upya kwa sababu kubadilika ni sehemu ya maisha. Kama anafikiri uvaaji na uchezaji ule ndiyo unampatia mashabiki, mimi nakataa kwa sababu najua muziki wake umekubalika, anaweza kuvaa na kucheza kawaida na bado akaendelea kuwa juu.
Ni vyema wasanii wetu wakatambua kwamba ustaa wao unawafanya wawe mfano. Huenda zile shangwe zinazotoka kwa mashabiki siyo za kumsifu kwa uhodari wake, bali ni kumzomea kwa jinsi anavyojidhalilisha. 

Na pengine ni wakati muafaka pia kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuanza kutembelea kumbi na matamasha ili kuwabaini na kujua namna gani wanaweza kushughulika na watu wa aina hii. Hatuwezi kujenga taifa lenye maadili kama kila mtu ataachiwa kufanya anachotaka kwa sababu tu ya ustaa wao. 

Kama wameweza kupiga kelele hadi sasa waigizaji wa filamu wameanza kuvaa nguo zinazokubalika, hata huku kwenye muziki wa kizazi kipya inawezekana. BASATA inao uwezo wa kuzipiga marufuku video na nyimbo zisizoendana na utamaduni wetu

TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER



20131223_151843

20131223_144529

Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo


20131223_151757
yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
20131223_152234

20131223_154547


20131223_144845

20131223_144549

20131223_144529

20131223_150313

20131223_151813

20131223_151843

20131223_151915

TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER



20131223_151843

20131223_144529

Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo


20131223_151757
yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
20131223_152234

20131223_154547


20131223_144845

20131223_144549

20131223_144529

20131223_150313

20131223_151813

20131223_151843

20131223_151915

TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER



20131223_151843

20131223_144529

Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua  akishoot video ya nyimbo


20131223_151757
yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake  walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
20131223_152234

20131223_154547


20131223_144845

20131223_144549

20131223_144529

20131223_150313

20131223_151813

20131223_151843

20131223_151915

CHEKI VAZI HILI MUIGIZAJI HUYU KUTOKA BONGO MOVIE ALILOTNGA LEO..! DU! KAMA MTALII?



Yuster Nyakachara
Muigizaji huyu ana vituko?! Yani anatoka kwa staili anayotaka...!

CHEKI VAZI HILI MUIGIZAJI HUYU KUTOKA BONGO MOVIE ALILOTNGA LEO..! DU! KAMA MTALII?



Yuster Nyakachara
Muigizaji huyu ana vituko?! Yani anatoka kwa staili anayotaka...!

CHEKI VAZI HILI MUIGIZAJI HUYU KUTOKA BONGO MOVIE ALILOTNGA LEO..! DU! KAMA MTALII?



Yuster Nyakachara
Muigizaji huyu ana vituko?! Yani anatoka kwa staili anayotaka...!

Tuesday, 24 December 2013

MAITI YA DENTI WA CHUO CHA BIASHARA CBE YAZUA KASHESHE





KWELI dunia ina mambo! Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa.


Desemba 2, mwaka huu, Abel alidaiwa kufa maji akiogelea katika Ziwa Victoria na mwili wake kuthibitishwa na mjomba’ake, mwili ukapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kabla ya kusafirishwa Sengerema kwa maziko Desemba 4.


Akizungumza na waandishi wetu juzi, mtu wa karibu wa Abel aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel alisema baada ya kumaliza mazishi, familia ilirudi Kayenze, Lakini yeye Desemba 17  mwaka huu ghafla alionana na Abel akiwa mzima wa afya maeneo ya Mwaloni.


Alisema alimuweka chini ya ulinzi na kumpeleka Kituo cha Polisi cha Kayenze na kutoa taarifa kwa ndugu waliokuwa Sengerema ambao walifika na kujionea marehemu akiwa hai!
Kituoni hapo, Abel alikataa katakata kuwa yeye hakufa alikuwa kwenye misele yake ila alipoteza simu ndiyo maana hakuwa na mawasiliano na nduguze.


Ndugu hawakuyaamini mwaelezo hayo, wakati mwingine walitaka asiwakaribie maana ni mzimu, lakini wakiwa katika maswali mengi juu ya Abel yupi aliyezikwa, walipata taarifa kituoni hapo kuwa maiti waliyemzika Sengerema anaitwa Manyama Chimwejo na nduguze  wamepatikana.


Polisi wakaitaka familia hiyo ya Abel kukaa na familia ya Manyama kujadili hatima, kama watafukua maiti hiyo na kwenda kumzika upya Kigoma au watamwacha hukohuko Sengerema alipozikwa awali.


Akizungumza kwa simanzi, Abel (aliyedhaniwa kufa) alisema ndugu zake wanachojua waliyemzika ndiye Abel bali amefufuka.


“Ndugu zangu hawaamini kama mimi ni mzima hivyo napata tabu sana kwa kuwa kila mtu ananipigia simu kuniuliza. Mimi sikufa, nilikuwa nyumbani kwangu, tatizo lilikuwa ni mawasiliano, nilipoteza simu,” alisema Abel.

Kwa upande wa pili, kaka wa marehemu aliyejitokeza kudai maiti ya mdogo wake aliyezikwa kimakosa aliyejitambulisha kwa jina la Christopher Chimwejo alimtaja Manyama Chimwejo (20) kuwa kweli alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE), Tawi la Mwanza mwaka wa kwanza na alifika kuishi naye mapema mwezi huu baada ya chuo kufungwa.

Alisema Manyama alitoweka nyumbani kwake ghafla maeneo ya Mwaloni na baada ya hapo hakumuona tena jambo lililomfanya atoe taarifa polisi.

Hata hivyo, sakata hilo lilimalizika Desemba 21, mwaka huu katika Kituo cha Polisi Kirumba D ambapo pande zote mbili zilikutana na kukubaliana kuacha kaburi la marehemu Manyama liendelee kuwa Sengerema licha ya kwamba familia hiyo haiamini kama mwanafunzi huyo alifariki dunia.

“Hapa kuna kitu, sisi hatujafiwa na ndugu yetu, tumechezewa. Kama ndugu yenu aliyekufa amerudi hata ndugu yetu pia atarudi tu, ngojeni kwanza tukatambike kwetu Kigoma,” alisema kaka huyo wa marehemu