YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday, 23 July 2012

“MADEMU”-MPOKI Feat.BARNABA

calvin
Unajua kwamba Mpoki ni mchekeshaji. Na pengine,bila shaka, unaelewa kwamba Mpoki ni mwanamuziki…tena mshindi wa Tuzo za Kilimanjaro.Anazo kofia nyingi katika vipaji.Of course hili la kipaji cha muziki,bado lipo maabara.Kuna Hey na kuna Nah.Lakini,well,anakata mbuga.
Kuthibitisha kwamba bado yupo na ataendelea kuwepo,huu hapa ni ushirikiano wake na Barnaba ambaye kwa mapana na marefu ni miongoni mwa waimbaji wazuri zaidi waliowahi kuwepo nchini Tanzania.There is no doubt about that.Wimbo unaitwa Mademu.…yes Mademu.Umesoma sahihi.Ni production kutoka wa Lamar pale FishCrab. Usikilize hapo chini;

.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg