Kesi inayomkabili msanii wa kike wa filamu Lulu juu ya kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake Steven Kanumba aliyefariki April 7 mwaka huu bado imegubikwa na utata baada ya hii leo tena kupigwa kalenda. Akisikiliza kesi hiyo mapema leo msajili wa mahakama kanada ya Dar es salaam Ndugu Amir Msumi aliahirisha kesi hiyo hadi Agosti 20 kutokana na kutokuwepo kwa jaji Fauz Twaib anayesikiliza kesi hiyo kwa kuwa yuko kwenye mitihini ya sheria anayoifanya kwenye chuo anachosoma hivyo kesi hiyo imepigwa kalenda hadi mwezi ujao
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg