Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani Iringa. Tazama picha zao.
Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga |