YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 18 September 2013

VIDEO: J MARTIN AMFANYIA KITU MBAYA OMMY DIMPOZ KWA SHOW YAO TENA STEJINI, TAZAMA VIDEO HAPA:


Ebaa Jamaa, kwenye hii video Ommy Dimpoz na J Martins walikua wanaimba pamoja na kuitikiana pamoja poa tu ndani ya Bilicanas jana. Lakini kilichotokea katikati ya hii video (kuanzia kwenye dakika 3 na sekunde 18 ) kimenishangaza kidogo.
Walikua wanaimba kwa staili ya kuitikiana(call & response) lakini ghafla J Martins akaanza kumkosoa Ommy Dimpoz kwamba anavyoimba sivyo na kuanza kumuelekeza aimbe vipi, katika njia ambayo ni very patronizing, kama anaongea na mtoto au mwanafunzi vile; mbele ya mashabiki!! Sikiliza kuanzia pale anapoanza kumwambia “no no no no… you have to be sensual (imba kwa sauti nyororo.)” Hivi si ni kuvunjiana heshima jamani?

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg