KUNANI ARUSHA?! Baada ya jana mtoto kuuawa kwa kupigwa risasi huko Arusha. Mwanamke mwingine amepigwa risasi na kuuawa leo hii (Jumamosi) alasiri huko Njiro, Arusha. Taarifa za awali zinaarifu ya kuwa mwanamke huyo alikuwa anashuka kwenye gari yake ghafla wakaja jamaa wa pikipiki wakamshambulia kwa risasi na kukimbia...!
Taarifa zaidi zitawajia kadri tutakavyozipata
Taarifa zaidi zitawajia kadri tutakavyozipata
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg