YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 16 October 2014

UMEONA DARAJA LA KIGAMBONI LILIPOFIKIA?? PICHA ZOTE HIZI HAPA ZICHEKI TARATIIIBUU




Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na
upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea
kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi
eneo la Kurasini Dar es Salaam ambapo
millardayo.com na AyoTV October 15 2014
ilipata nafasi ya kutembelea daraja hili.
.
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya
kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili
amesema amekua akishuhudia ujenzi ukiendelea
hata wakati wa usiku pia, yani akiamka asubuhi
na kuja kazini anakuta mabadiliko.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg