YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 14 August 2018

JE! UNATUMIA MKONO WA KUSHOTO?

Ubongo umegawanyika katika hemispheres mbili, left side na right side, watu wanaotumia upande wa kulia control huwa inatoka left side of the brain, sasa ukija kwa left handers control inatoka right side of the brain. Ambayo watu left handers ni special cases mostly ether by inheritance au genetical make up kama ilivyo swala la mapacha...
What to note is that wazazi wengi huwa wanawadescourage watoto wao wanapojua ni mashoto THIS IS NOT RIGHT inakuja kumsababishia matatizo mengi sana ikiwemo tatizo la kumbukumbu na ugumu wa vitu kama mahesabu...So cha kufanya ni kumuacha na kumtafutia vifaa ambavyo vina encourage left handedness mfano mlango wa chumba chake uwekwe tofauti na mingine, na baadhi ya vifaa kama mikasi iliyotengenezwa maalum kwa left hand people...watu wengi wa namna hiyo huwa wana uwezo mkubwa ,sana katika sayansi, mahesabu kama hawatakuwa discouraged na pia wana uwezo mkubwa sana kimichezo na hasa kama ni wasichana wanakuwa na extraordinary capacity of learning.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg