Leo February 23, 2018 Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini hadi chuo kikuu ambapo kwa sasa anasoma kidato cha tatu.
Prof. Ndalichako amezungumza hayo katika mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa katika daladala wakati Polisi wakitawanya maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA.
Nae Mbunge wa Rombo, Selasini amewasilisha rambirambi ya Shilingi Milioni 1 na laki tano kwa niaba ya Mwenyekiti na Katibu wa CHADEMA.
Walichozungumza Rais Magufuli na Kenyatta nchini Uganda
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg