Leo August 6, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Maico Gaguti leo amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Meja Jeneral Mstaafu Salum Kijuu ambaye amestaafu.
Baada ya makabidhiano hayo amemuapisha Mkuu wa Wilaya Kyerwa, sambamba na kuongea na wanakagera ambapo amesema kuwa vitu atakavyohakikisha anavifanyia kazi kwa mkoa huo ni kupamabana na Wahamiaji haramu, Magendo ya mipakani na uingiaji wa mifugo kutoka nchi jirani.
Ishu ya Wanawake kukatwa matiti “Wakitembea ni watu ila roho za kinyama”
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg