Staa zamani wa club ya Man United ya England ambaye anaichezea club ya Juventus ya Italia kwa sasa Cristiano Ronaldo atarudi kucheza katika nyasi za uwanja wa Old Trafford kwa mara ya nyingine tena msimu huu wa 2018/19.
Cristiano Ronaldo ambaye aliondoka mara ya mwisho Old Trafford kama mchezaji wa Man United mwaka 2009 na kujiunga na club ya Real Madrid ya Hispania hivyo leo baada ya kuchezeshwa droo ya makundi na Man United kupangwa Kundi H na Juventus atarudi tena hapo.
Ronaldo atarudi Old Trafford kucheza mechi yake ya makundi akiwa na Juventus ambao amejiunga nayo msimu huu akitokea Real Madrid, hivyo kupangwa kwao Kundi H na timu za Man United, Valencia na Young Boys kutampa nafasi ya kucheza tena Old Trafford.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg