Baada ya majaribio ya siku 7 Super Sport United imewapunguza wachezaji sita kati ya 9 waliokuwa wakifanya majaribio ambapo waliopunguzwa wanatoka Congo, Senegal, Nigeria na Mali.
Wachezaji waliobaki ni John Bocco kutoka Tanzania, Mnigeria ambaye alikuwa Petro Athletico ya Angola na Raia wa Chad.
Shaffih Dauda anasema nafasi ni moja tuu na Bocco wa Azam Fc ameongezewa siku sita nyingine za majaribio hadi Alhamisi Ijayo.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg