Saturday, 7 September 2013
PICHA 5 ZA DAKTARI FEKI ALIYENASWA AKIHUDUMIA WAGONJWA KWENYE HOSPITALI YA KCMC...!!
![]() |
Daktari feki aliyenaswa katika hosptali ya KCMC aliyetambulika kwa jina la Alex Massawe akiwa amefungwa pingu mikononi mwake katika eneo la hosptali hiyo.
Daktari Feki akisindikizwa na baadhi ya wafanyakazi wa hosptali ya KCMC kutoka katika moja ya wodi ambayo alikuwa 'akihudumia'.
Ofisa Uhusiano wa KCMC, Gabriel Chisseo (kushoto) akimwonesha Daktari Feki, Alex Massawe.
Daktari Feki akiwa katika gari la polisi tayari kupelekwa kituoni.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa amepanga kumfanyia upasuaji wa ngozi, Makasi Tipesa ambaye anasumbuliwa na ugonjwa huo baada ya kukutana na mama yake na kumuahidi kumpatia huduma kwa malipo ya Sh. 200,000.
Habari zinasema kuwa kabla ya kukamatwa kwa Alex, mama mzazi wa kijana huyo, mkazi wa Manispaa ya Moshi, Pamvelina Shirima, alikutana na mtuhumiwa huyo katika baa moja maarufu iliyopo eneo la Dar Street (jina limehifadhiwa) na kumtaka ampe kiasi hicho cha fedha kwa madai zitatumika kuharakisha mwanaye wa kiume kufanyiwa vipimo vya upasuaji.
Ofisa Uhusiano wa KCMC, Gabriel Chisseo, alisema kuwa daktari huyo aliwekewa mtego na uongozi wa hospitali hiyo baada ya baadhi ya wagonjwa kuripoti kutapeliwa na mtu ambaye amekuwa akijitangaza kwamba ni daktari.
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mjini Moshi, jana ulimnasa 'Daktari Feki' aitwaye Alex Sumni Massawe (33).
Massawe alikamatwa saa 5:00 asubuhi ndani ya hospitali hiyo na kuwekwa chini ya ulinzi mkali wa makachero wa Jeshi la Polisi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa amepanga kumfanyia upasuaji wa ngozi, Makasi Tipesa ambaye anasumbuliwa na ugonjwa huo baada ya kukutana na mama yake na kumuahidi kumpatia huduma kwa malipo ya Sh. 200,000.
Habari zinasema kuwa kabla ya kukamatwa kwa Alex, mama mzazi wa kijana huyo, mkazi wa Manispaa ya Moshi, Pamvelina Shirima, alikutana na mtuhumiwa huyo katika baa moja maarufu iliyopo eneo la Dar Street (jina limehifadhiwa) na kumtaka ampe kiasi hicho cha fedha kwa madai zitatumika kuharakisha mwanaye wa kiume kufanyiwa vipimo vya upasuaji.
Ofisa Uhusiano wa KCMC, Gabriel Chisseo, alisema kuwa daktari huyo aliwekewa mtego na uongozi wa hospitali hiyo baada ya baadhi ya wagonjwa kuripoti kutapeliwa na mtu ambaye amekuwa akijitangaza kwamba ni daktari.
AIBU..!. MUME AMRUHUSU MKEWE AJIUZE ILI WAPATE PESA YA CHAKULA...!
Tukio hilo la aibu lilitokea Afrika Sana, Sinza jijini Dar ambako Aisha alisema ndiko anakofanyia biashara yake hiyo licha ya kuishi na mumewe mbali.
Mwanamke huyo ambaye hakuweka wazi kama ana watoto au la, alisema hayo kufuatia kuzuka kwa varangati la nguvu baada ya wanahabari kumkuta yeye na mwanaume kwenye jumba moja bovu lililopo mbele kidogo ya Kituo cha Afya cha Kijitonyama, jijini Dar.
Baada ya kumulikwa na mwanga wa kamera na kubaini wameingiliwa , ndipo mwanamke huyo alikurupuka kwa hamaki na kusema:
“Pigeni hizo picha mnadhani nani ana wasiwasi. Kwa taarifa yenu mimi nina mume na mume wangu ndiye aliyeniruhusu nijiuze ili tupate pesa ya kula.
“Sasa nyinyi kama mnadhani mume wangu akiona picha zangu ataniacha mmenoa. Mume wangu yeye anajua niko wapi saa hizi, hata nikichelewa kuja huku usiku yeye ndiye hunihimiza ili nije kupata pesa.”
Mwanamke huyo aliyatoa maelezo hayo kwa ujasiri mkubwa na bila kujali kwamba anapigwa picha huku akiwa ameshikilia upande wa khanga.
Baadhi ya majirani waliposikia mkwara wa mwanamke huyo walitoka kushuhudia lakini walipokutana na mwanga mkali wa kamera walirudi majumbani mwao na kujifungia milango huku wakidai hayawahusu .
MTEGO MZITO BAADA YA KUPEWA AHADI YA MILION 3.5 KULALA NA BOSI WAKE MPAKA ASUBUHI...!!
Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!
Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!
Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!
Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!
Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!
Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!
After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum
After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............
Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!
Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!
He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!
He said good thoughts, u re too emotional!
He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!
JINSI MSANII BATULI ALIVYONASWA LIVE NA SLIMU OMARY WAKIWA SEHEMU TATA....!!
![]() |
| Msanii wa bongo movie Yobi nesh au Batuli katika pozi |
Mwandishi wa tsstz alijibanza asijulikane kama yupo eneo lile na hapo alimshuhudia slim omari msanii wa bongo movie akizidi kumsomesha Batuli ili akubaliane na anachomueleza japo hatukupata bahati ya kusikia walichokuwa wanaongea kwani wangejua nipo eneo lile.
Mara baada ya kupata picha za uhakika thesuperstarstz iliwafuata wawili hao na walipomuona muandishi wetu waliachina mikono haraka na kuanza kucheka huku slimu akionyesha kutokuamini kama amebambwa na muandishi wetu na kisha wakaondoka haraka eneo lile nakuingia katika mlango flan kwa staili ya kumkwepa muandishi wetu na tulipowafuata tulizuiliwa na ungozi wa eneo lile kwa madai ya kuwabuguthi wateja wao.
![]() |
| Hapa ni mwanzo Batuli alionekana kufurahiya maneno ya slimu |
baada ya kukata simu tulipigiaslimu na kwa upande wake hakutaka kupokea simu yetu
![]() |
| Hapa Slim Anaonyesha aliongeza utamu wa maneno na kumfanya Batuli aanze kuingia mkenge kwa maneno yake |
![]() |
| Endelea kuwa nasi tutahakikisha tunakuletea kilichojiri kwani kazi yetu ni kukupa habari popote pale ulipo nataka ujue hii sio filamu mdau ni tukio la kweli kaaa na sisi |
DRAMA ZA WEMA SEPETU ZAGONGA MWAMBA MBELE YA LULU.
akizungumza na Swahiliworldplanet alisema kuwa hakuona umuhimu wowote wa Wema kujichetua namna alivyofanya wakati shughuli ilikuwa ya Lulu, alisema kuwa kitendo cha kwenda kumpa pesa Mama Kanumba hakikuwa na maana pale mbele za watu bali kujichoresha kwenye media ili auze magazeti kama kawaida. " Wema nae haachi kujichetua kila siku, shughuli ni ya mwenzake lakini alitaka kila mtu ajue kuwa Wema yupo ukumbini, kama alikuwa na nia ya kumpa mama kanumba pesa si anagempa tu nyumbani kwake au anataka attention kila alipo."
Muigizaji huyo aliongeza kwa kusema kuwa Wema ni mtu wa kumwaga pesa huku akishindwa kutoa filamu yoyote mpaka sasa kupitia kampuni yake iliyozinduliwa kwa kishindo mwanzoni mwa mwaka huu wakati mwenzake Lulu akizindua filamu yake na tayari ipo sokoni kwasasa huku ile ya Wema ya Superstar iliyozinduliwa kwa gharama kubwa na kutangazwa sana haijulikani ilipo mpaka leo. " mpaka sasa Wema hajatoa filamu yoyote na hata ile tuliyohudhuria uzinduzi wake mwaka jana kwa kumleta Omotola sijui kamuuzia nani, ajipange kama mwenzake, unajua Wema alitaka kuitawala ile event kupitia media kwa kumfunika Lulu lakini Lulu alifunika siwamjua Lulu tena, shosti yake Kajala pia hakujituliza kitini mbona mastaa wengine walikuwepo bila drama zozote!" alisema muigizaji huyo kwa sharti la kutotajwa jina lake akizungumza na Swahiliworldplanet.
Wema, Kajala na mama Kanumba katika uzinduzi wa filamu hiyo
source- swahiliworldplanet
HIZI NDIZO PICHA ZA MKE WA MBUNGE WA CHADEMA SUGU AKIONESHA TATOO KIUNONI
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani Iringa. Tazama picha zao.
| Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga |
Faiza na mwanae
Sugu na familia yake
Subscribe to:
Posts (Atom)

.png)




