Mtangazaji Janet Talawa ni mmoja kati ya mahodari kwenye kitabu cha wasoma habari wa TV Tanzania, wengi tulianza kumuona kupitia ITV lakini kwa sasa ni mtangazaji wa kujitegemea ambae anaanda show na kuipeleka kwenye TV.
Show yake ya Ongea na Janet inayouzika kupitia CLOUDS TV imetimiza mwaka mmoja march 8 2013, ni show ambayo alifikia kukata tamaa lakini hakukubali kushindwa.
Sasa hivi hiyo show ambayo inaonekana kwenye nchi nane za Africa zikiwemo Uganda, Kenya na Burundi kupitia Africa Magic Swahili ya DSTV.
Upande mwingine wa jumba la production ambalo litakua linarekodi show za Janet pamoja na nyingine za nje, series pamoja na kazi nyingine mbalimbali.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg