Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mara baada ya kutoka kwa habari hiyo, baadhi ya ndugu zake walikasirika na kutaka kujua undani wake.
“Ile stori ilipotoka ndugu wa Fatuma hawakuamini kuwa kweli kapiga picha hizo.
“Ile stori ilipotoka ndugu wa Fatuma hawakuamini kuwa kweli kapiga picha hizo.
“Kwa bahati kuna mtu aliyekuwa na picha hizo, walipoziona, waliumia sana na baadhi wakafikia hatua ya kusema hawana radhi naye,” kilidai chanzo hicho.
Ijumaa lilimtafuta Fatuma ili kuzungumzia madai hayo bila mafanikio ila kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Saleh baada ya stori kutoka, alipigia simu na kusema:
“Fatu ni mdogo wangu, nashangaa mmemuandika kuwa kapiga picha chafu wakati siyo kweli. Kama hizo picha zipo nitakuja kuziona laa sivyo tutapelekena mahakamani,” alisema Saleh.
Tumeamua kutumia picha hiyo chafu hapo juu aliyopiga Fatuma ili kuonesha uhalisia.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg