Papa Francis amebadilisha mafunzo ya kanisa katoliki kupinga hukumu ya kifo katika visa vyovyote , kulingana na Vatican.
Mafunzo ya kanisa hilo yalikuwa yakisema kwamba hukumu ya kifo inaweza kutumika katika baadhoi ya visa.
Sasa haikubaliki kwa sababu ni shambuli kwa mapungufu na heshima ya mtu. papa Francis awali alikuwa amezungumzia dhidi ya hukumu hiyo.
Mwezi Oktoba uliopita , alisema alikuwa amesema kuwa sera ya kanis ahilo kuhusu hukumu ya kifo ni jambo moja ambapo mafunzo yalikuwa hayana msimamo na huenda yakabadilika kutokana na muda.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg