Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuunda timu ya kufanya ukaguzi wa Mali zote za serikali zilizotaifishwa na wajanja ikiwemo maeneo ya wazi na Nyumba za umma.
RC Makonda ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuwakaribisha wakuu wapya wa wilaya za Kinondoni na Kigamboni, Katibu Tawala Mkoa na kuwaaga wakuu wa wilaya waliohamishwa vituo vya kazi ambapo amemuagiza katibu tawala kuhakikisha anakamilisha ripoti kabla ya September 3,2018.
“Nataka uunde timu yako ndani ya mwezi ya mmoja muanze kukagua mali za serikali ndani ya mkoa wa Dar es Salaam, Ninazo taarifa kuna viwanja vya Manispaa na nyumba za serikali lakini kuna watu binafsi wamevichukua,”
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg