Hiki ndio kibanda ambacho kinatumika kuhifadhi kikombe cha babu na kukigawa kwa wanaotaka kunywa, zamani watu wakiwa wengi vikombe mpaka elfu 17-18 vilikua vinatoka kwa siku ila kwa sasa hawazidi watu 20, nimeongea na kijana anaemsaidia babu kazi jana jioni.
Hii ndio nyumba nyingine anayoijenga Babu wa Loliondo pembeni ya nyumba anayoishi, alikanusha kuhusu kujenga majumba ya kifahari akasema hii ndio nyumba pekee anayoijenga na ndio nyumba ya pili kuijenga toka ameanza kutoa kikombe, ni ya vyumba vitatu na ni maalum kwa ajili ya Wafanyakazi wake wanaomsaidia kwa ajili ya tukio kubwa alilolitangaza linakuja karibuni.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg