KILA SIKU KUNAZUKA JAMBO JIPYA, SASA LEO NI HUYU PAKA ALIYEFUNJA REKODI BAADA YA WIMBO WA TAIFA KUPIGWA ...TAZAMA VIDEO ALICHOKIFANYA
Ni
kawaida, kwa heshima ya wimbo wa taifa kila raia wa nchi husika
husimama au kutii taratibu zote za utulivu kila wimbo wa taifa
unapopigwa.
Sasa kwenye hii ya leo ni kuhusu Paka mmoja huko Urusi ambae aliamua
kufata taratibu hizo za binadamu kwa kusimama sekunde chache tu baada ya
kusikia wimbo huo ukipigwa kutoka kwenye simu ya mwenye nyumba.
Po
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg