YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 12 March 2013

LUNCH YA DIOMOND NA FAMILIA YAKE AKIWA HOME SWEET HOME:

Das Platnumz Baby

Esma khan na Mariam wakiandaa makulaji

Diamond's Family ikiwa kwenye Meza
hapa nikivuta vitu karibu na Mwanangu Anzoo Mafia Mnyama
ahahahhaah askwambie mtu kula pamoja na familia ni raha sana.... 

wit my Luvly mum n ma bway Baby Boy from SOUTH AFRICA

Das my Luvly Sister Esma Khan
hahahahahahahhah crazy eeh?

TID APEWA KICHAPO KIKALI NA MTANGAZAJI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA CLOUDS TV

Mwanamuziki nyota wa Bongo flava ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa dansi, Khalid Mohammed ‘TID’, wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kudundwa hadi kutolewa nundu puani na mtangazaji wa Clouds TV, Cedou Ayoub a.k.a Babuu.

Tukio hilo la aina yake lililotokea wiki iliyopita kwenye kiota cha burudani Bongo pale Club Maisha na kushuhudiwa na watu kibao ambapo chanzo chake kikidaiwa ni kudaiana hela

Chanzo chetu kilimwaga umbea kuwa, siku ya tukio hilo TID alikuwa amealikwa kwenye uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki Country Boy iliyokuwa inafanyika mjengoni humo, ambapo baada ya onesho hilo kuisha ndipo TID akiwa ‘mitungi’ alimfuata Babuu na kuanza ‘kumzingua’

Hata hivyo, chanzo chetu kiliendelea kueleza kuwa, baada ya walinzi wa ukumbi huo kuona hali tete ya uvunjifu wa amani waliwasihi watu hao kutoka nje kabisa ya ukumbi, huku mtangazaji huyo akiwaomba walinzi hao wawaache wapimane ubavu kidogo na walipotoka nje wakaachiwa ‘ulingo’ ndipo ngumi zilianza kupigwa.

Habari zaidi toka eneo la tukio zilisema kuwa: “Watu waliwazunguka huku wakishangilia kwa muda wa dakika tano ngumi zinapigwa ndipo maabaunsa wakawaamua, lakini, tayari TID alikuwa ameshatolewa manundu kadhaa puani.”

Aidha, kwa upande wa Babuu, alipotafutwa kupitia simu yake ya kiganjani, iliita bila kupokelewa. 

Hata hivyo, watu wa karibu na Babuu walilieleza kuwa, kufuatia TID kuchezea mkong’oto huo, kumezuka ‘bifu’ kubwa na kuna wasiwasi wa kutekana kwa mastaa hao hivyo huku Mkurugenzi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba akitakiwa kuingilia kati suala hilo ili kuepusha balaa.

HUYU NDIO BIBI MWAFRIKA JASIRI ALIEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA ALIZOFICHA KICHWANI

.
Giwa Ayoka Sikirat ni bibi mwenye umri wa miaka 53 ambae amekamatwa na kikosi maalum cha kuzuia dawa za kulevya huko Nigeria akiwa amezificha dawa za kulevya kwenye nywele kichwani na kuzifunika.
Alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abuja akiwa anaelekea Pakistan kwa kupitia Addis Ababa na Dubai ambapo pia aliemsindikiza Uwanja wa ndege amekamatwa, ni Joseph mwenye umri wa miaka 59.
Bibi huyo ambae anaonekana jasiri, imefahamika alishawahi kuhudhuria shule ya Fashion na maswala ya nywele huko Lagos mwaka 1994.

Sunday, 10 March 2013

HILI NDIO JUMBA LA OFISI MPYA YA MTANGAZAJI JANET TALAWA, PRODUCTION HOUSE YA SHOW ZAKE ZA TV.

0
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Mtangazaji Janet Talawa ni mmoja kati ya mahodari kwenye kitabu cha wasoma habari wa TV Tanzania, wengi tulianza kumuona kupitia ITV lakini kwa sasa ni mtangazaji wa kujitegemea ambae anaanda show na kuipeleka kwenye TV.
Show yake ya Ongea na Janet inayouzika kupitia CLOUDS TV imetimiza mwaka mmoja march 8 2013, ni show ambayo alifikia kukata tamaa lakini hakukubali kushindwa.
Sasa hivi hiyo show ambayo inaonekana kwenye nchi nane za Africa zikiwemo Uganda, Kenya na Burundi kupitia Africa Magic Swahili ya DSTV.
Upande mwingine wa jumba la production.
Upande mwingine wa jumba la production ambalo litakua linarekodi show za Janet pamoja na nyingine za nje, series pamoja na kazi nyingine mbalimbali.
Jumba lenyewe la production.
Jumba lenyewe la production.
.
.
Team kamili.
Team kamili.
Hawa ndio watangazaji wapya wawili kwenye vipindi viwili vipya vilivyozaliwa baada ya mafanikio ya Ongea na Janet, wa kwanza kushoto ni mtangazaji Nasri Amani na Ritha Chuwalo wa WAPO RADIO ambae atakua mtangazaji kwenye show ya pili.

Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
.
Baada ya mwaka mmoja wa kazi ngumu, sasa hivi show ya Ongea na Janet imedhaminiwa na Airtel.

KUHUSU KUANZA KAZI KWA TUME YA KUCHUNGUZA MATOKEO YA FORM IV

0
.
.
Ile tume iliyoteuliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda february 22 2013 kuchunguza sababu za matokeo mabaya ya mitihani ya kidato cha nne 2012 tayari imeanza kazi yake ambayo uharaka wa kupata matokeo ya uchunguzi utatokana na ushirikiano kutoka kwa wadau wa elimu kwenye mikoa mbalimbali itakayochunguzwa.
Mwenyekiti wa hiyo tume ambae ni Profesa Sifune Mchone amesema kwa kuanzia, wameanza kufanya uchunguzi Dar es salaam, mkoa ambao matokeo yalikua mabaya tofauti na miaka iliyopita ambapo kwa ujumla nchi nzima zaidi ya asilimia 60 ya Wanafunzi walifeli kwa kupata daraja la mwisho.

LEO MARCH 11 2013, MAGAZETI YAMEAMKA HIVI KWENYE KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO

0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.