Msanii mkongwe kwenye game ya bongofleva Dudubaya amezungumza kwenye EXCLUSIVE interview ambapo amelezea kuhusu taarifa zilizopo kuwa anatafuta kiki ili arudi tena kwenye headlines kama alivyokuwa zamani ambapo Dudubaya amesema kwamba yeye hatafuti kiki ila kiki amezaliwa nazo na istoshe kiki zake nyingi zilikuwa ni zakutoa vipogo kwa watu.
Dudubaya amesema kwamba kiki nyingi zilikuwa zinamkuta toka zamani kutokana na maswala ya ugonvi na vipigo japo kwa sasa yamepungua huku akiitaja sababu ya umri wake umeenda hivyo hawezi kufanya mambo wanayoyafanya Young D au Amber Lulu. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg